Ki ml30 fei ml8

mtungu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2021
Posts
270
Reaction score
435
Na nyinyi wachezaji wa kibongo tokeni mkacheze njee mpate mihela ya kutunza family zenu lawama atutaki
 
🤣🤣🤣🤣 Morrison by professional nilimkubali sana aliposema "Nikiwa Ghana katika uzee wangu siwezi kuiomba Simba Sc hela" Alikuwa anahitaji future contract lkn CEO akamgomea.

Hawa akina Fei Toto wakizeeka watachangiwa fedha na wananchi wakipata challenge maana vilabu vikubwa hapa nchini havithamini watu waliowaletea mafanikio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…