#COVID19 Ki wapi kile kirusi hatari cha Delta

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Wakati kimeingia nilijua tutazika mpaka panzi lakini naona hakuna kilichotokea

Misongamano kama yote nchi nzima, wagonjwa wa sukari, wazee, wenye HIV nk naona bado wako mtaani wanadunda

Nimeamini korona ni usanii tosha na imetengenezwa ili kufanikisha mageuzi ya mifumo fulani ya kifedha ya uncle sam
 
Wakati kimeingia nilijua tutazika mpaka panzi lakini naona hakuna kilichotokea

Misongamano kama yote nchi nzima,wagonjwa wa sukari,wazee,wenye HIV nk naona bado wako mtaani wanadunda

Hapa nilipo kuna barabara inaelekea kanisani, kila siku ilokuwa magari ya maiti yanapishana kupeleka maiti kanisani kuombewa kiasi kwamba ukikaa barabarani unaweza kupoteza matumaini ya maisha.

Mitaani ilikuwa misiba kila kona.

Nchi hii sasa hivi ina watu wengi sana kiasi kwamba hata wakifa watu 2,000 ni kama hakijatokea kitu.

Mwamposa aliua zaidi ya 20 siku moja.

Roli la mafuta Moro liliua zaidi ya 100,

Msiba wa Magu Taifa walikufa zaidi ya watu 40,

Lakini ni kama hakijatokea kitu.

Ishtoshe upumbavu ni kipaji.
 
Hapa nilipo kuna barabara inaelekea kanisani, kila siku ilokuwa magari ya maiti yanapishana kupeleka maiti kanisani kuombewa kiasi kwamba ukikaa barabarani unaweza kupoteza matumaini ya maisha.

Mitaani ilikuwa misiba kila kona.

Nchi hii sasa hivi ina watu wengi sana kiasi kwamba hata wakifa watu 2,000 ni kama hakijatokea kitu.

Mwamposa aliua zaidinya 20 siku moja.

Roli la mafuta Moro liliua zaidi ya 100,

Msiba wa Magu Taifa walikufa zaidinya watu 40,

Lakini ni kama hakijatokea kitu.

Ishtoshe upumbavu ni kipaji.
Walipangiwa watakufa hivyo pindi tu walipozaliwa
 
Hilo ndilo lililopo.
 
Wakati kimeingia nilijua tutazika mpaka panzi lakini naona hakuna kilichotokea

Misongamano kama yote nchi nzima,wagonjwa wa sukari,wazee,wenye HIV nk naona bado wako mtaani wanadunda

Nimeamini korona ni usanii tosha na imetengenezwa ili kufanikisha mageuzi ya mifumo fulani ya kifedha ya uncle sam

Unaongea usilolijua ,tafuta mtu aliyepata corona akapona akupe ushuhuda.

Nenda hospital utajua na waombe takwimu ya wagojwa waliofariki kwa changamoto za upumuaji.
 
Aisee kipo sana na siku hizi kinaua hadi vijijini

so your homework
 
Dah hcho kirus kimeshusha pigo kwenye familia moja mtaan kwetu kafa mtu na baba yake siku 1 wamepishana masaa tu , dah lile tukio lilifanya mtaa utulie kimya sana wale wahindi walikuaga watu poa Sana yan
 
Miradi ya watu iyo mzee, wenye mchongo wameweka pesa ndefu sana kwenye hii project so lazima iende tu.

Baada ya mama kuridhia chanjo wimbi delta sijui limepotelea wapi, ila tungejifanya kichwa ngumu tungepigwa mawimbi ya kila rangi hahahaha
 
Hapa nilipo kuna barabara inaelekea kanisani, kila siku ilokuwa magari ya maiti yanapishana kupeleka maiti kanisani kuombewa kiasi kwamba ukikaa barabarani unaweza kupoteza matumaini ya maisha.

Mitaani ilikuwa misiba kila kona.

Nchi hii sasa hivi ina watu wengi sana kiasi kwamba hata wakifa watu 2,000 ni kama hakijatokea kitu.

Mwamposa aliua zaidinya 20 siku moja.

Roli la mafuta Moro liliua zaidi ya 100,

Msiba wa Magu Taifa walikufa zaidinya watu 40,

Lakini ni kama hakijatokea kitu.

Ishtoshe upumbavu ni kipaji.
Hivyo vifo unavyovizungumzia vyote vya corona au ni pamoja na vifo vyengine?
 
Unaongea usilolijua ,tafuta mtu aliyepata corona akapona akupe ushuhuda.

Nenda hospital utajua na waombe takwimu ya wagojwa waliofariki kwa changamoto za upumuaji.
Sasa hapo inatofauti gani na maradhi mengine tuliyonayo siku zote? kwa sababu hata malaria huwezi kujua kuwa watu wanakufa hadi utizame takwimu.
 
Back
Top Bottom