Hapa nilipo kuna barabara inaelekea kanisani, kila siku ilokuwa magari ya maiti yanapishana kupeleka maiti kanisani kuombewa kiasi kwamba ukikaa barabarani unaweza kupoteza matumaini ya maisha.Wakati kimeingia nilijua tutazika mpaka panzi lakini naona hakuna kilichotokea
Misongamano kama yote nchi nzima,wagonjwa wa sukari,wazee,wenye HIV nk naona bado wako mtaani wanadunda
Nimeamini korona ni usanii tosha na imetengenezwa ili kufanikisha mageuzi ya mifumo fulani ya kifedha ya uncle sam
Walipangiwa watakufa hivyo pindi tu walipozaliwaHapa nilipo kuna barabara inaelekea kanisani, kila siku ilokuwa magari ya maiti yanapishana kupeleka maiti kanisani kuombewa kiasi kwamba ukikaa barabarani unaweza kupoteza matumaini ya maisha.
Mitaani ilikuwa misiba kila kona.
Nchi hii sasa hivi ina watu wengi sana kiasi kwamba hata wakifa watu 2,000 ni kama hakijatokea kitu.
Mwamposa aliua zaidinya 20 siku moja.
Roli la mafuta Moro liliua zaidi ya 100,
Msiba wa Magu Taifa walikufa zaidinya watu 40,
Lakini ni kama hakijatokea kitu.
Ishtoshe upumbavu ni kipaji.
Hilo ndilo lililopo.Hapa nilipo kuna barabara inaelekea kanisani, kila siku ilokuwa magari ya maiti yanapishana kupeleka maiti kanisani kuombewa kiasi kwamba ukikaa barabarani unaweza kupoteza matumaini ya maisha.
Mitaani ilikuwa misiba kila kona.
Nchi hii sasa hivi ina watu wengi sana kiasi kwamba hata wakifa watu 2,000 ni kama hakijatokea kitu.
Mwamposa aliua zaidinya 20 siku moja.
Roli la mafuta Moro liliua zaidi ya 100,
Msiba wa Magu Taifa walikufa zaidinya watu 40,
Lakini ni kama hakijatokea kitu.
Ishtoshe upumbavu ni kipaji.
Wakati kimeingia nilijua tutazika mpaka panzi lakini naona hakuna kilichotokea
Misongamano kama yote nchi nzima,wagonjwa wa sukari,wazee,wenye HIV nk naona bado wako mtaani wanadunda
Nimeamini korona ni usanii tosha na imetengenezwa ili kufanikisha mageuzi ya mifumo fulani ya kifedha ya uncle sam
Aisee kipo sana na siku hizi kinaua hadi vijijiniWakati kimeingia nilijua tutazika mpaka panzi lakini naona hakuna kilichotokea
Misongamano kama yote nchi nzima,wagonjwa wa sukari,wazee,wenye HIV nk naona bado wako mtaani wanadunda
Nimeamini korona ni usanii tosha na imetengenezwa ili kufanikisha mageuzi ya mifumo fulani ya kifedha ya uncle sam
Sio wote milioni 60 ni eligibleTz inawatu mil 60+ juzi nikasikia waliochanjwa ni laki 3..😂
Koona inayobaguaSio wote milioni 60 ni eligible
hebu Ticha upumbavu wako
Chanjo imetolewa Kwa Makundi maalum ambayo hatufiki hata 11% ya 60mKoona inayobagua
Alafu nasikia wanna mpango wa kukiweka kwenye nyanyaAisee kipo sana na siku hizi kinaua hadi vijijini
so your homework
Nyanya ipiAlafu nasikia wanna mpango wa kukiweka kwenye nyanya
Hivyo vifo unavyovizungumzia vyote vya corona au ni pamoja na vifo vyengine?Hapa nilipo kuna barabara inaelekea kanisani, kila siku ilokuwa magari ya maiti yanapishana kupeleka maiti kanisani kuombewa kiasi kwamba ukikaa barabarani unaweza kupoteza matumaini ya maisha.
Mitaani ilikuwa misiba kila kona.
Nchi hii sasa hivi ina watu wengi sana kiasi kwamba hata wakifa watu 2,000 ni kama hakijatokea kitu.
Mwamposa aliua zaidinya 20 siku moja.
Roli la mafuta Moro liliua zaidi ya 100,
Msiba wa Magu Taifa walikufa zaidinya watu 40,
Lakini ni kama hakijatokea kitu.
Ishtoshe upumbavu ni kipaji.
Sasa hapo inatofauti gani na maradhi mengine tuliyonayo siku zote? kwa sababu hata malaria huwezi kujua kuwa watu wanakufa hadi utizame takwimu.Unaongea usilolijua ,tafuta mtu aliyepata corona akapona akupe ushuhuda.
Nenda hospital utajua na waombe takwimu ya wagojwa waliofariki kwa changamoto za upumuaji.