Biashara ya Duka hasa duka la vitu vingi ni ngumu sana , lazima utumie muda wako mwingi kuwepo dukani hapo ndipo wafanyakazi tulioajiliwa tunashindwa .Kuhusu faida kama unajua bei ya kununua vitu ,ya kuuzia na matumizi mengine kama eneo ,umeme ,muuzaji etc unaweza ijua .