Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Sasa watumishi wanaokopa kwangu kwa riba watakiona cha moto mpaka akili ziwarudi pumbavu zao, marejesho yakichelewa sina huruma na hawa ngedere tukiwaambia waache ujinga wa kujilegeza hawataki. Awamu hii serikali mdebwedo hadi mseme ngedere nyie.
Na ikipita leo ngedere watasaga meno niliwaambia hii serikali matope itaishiwa pumzi wanaishobokea sasa moto ndio umewafika shingoni.
Maisha hayana huruma dadadadeki.
Unyama unyama tu.
Wadiz
Na ikipita leo ngedere watasaga meno niliwaambia hii serikali matope itaishiwa pumzi wanaishobokea sasa moto ndio umewafika shingoni.
Maisha hayana huruma dadadadeki.
Unyama unyama tu.
Wadiz