Na kwann utegemee kipato cha mumeo??kwan wewe huwezi kufanya kazi kwa mikono yako ukajiingizia kipato??yan wanawake bado wanamawazo ya kutegemea kipato cha mume??kweli ndo mana wanawake wengi wanateseka na kunyanyasika sana nowdays!amken wanawake!waume zetu ni wenzi wetu ambao tunashea life together lkn si ndo unamfanya kama Ndo ATM.tuwaheshimu waume zetu na kufurahia sapoti ya kipato chao lkn si ndo kulazimisha eti asilimia kadhaaa ya mshahara wake uje kwangu no!afanye hivyo kwa kupenda kwake.tuwe na ubinadam sometimes!ni hela zake yeye ndo apange zitumike vipi