kiama cha nyumba ndogo.kina dada tuolewe tu sasa

Smile nafikiri hili ni nchi moja ya mashariki ya mbali huko
Mhh hapa bongo hilo litakuwa utata
kazi nifanye mie mshahara achukue mwingine
we patachimbika hapo
hii ipo kwenye katiba mpya kama vip hama nchi
 
wanaume wenye ajira za mwisho wa mwezi itabidi wawe wanaume wa mwanamke mmoja sasa

Mmmh smile bana unaniangusha on this........cant yu think of sisi kuwapiga chini ili kila mtu ale chake??????

May be ni kiama cha ndoa sasa instead

Ila umeulizwa chanzo cha habari naona unapita roundabout..........or u are still thinking?????
 

IRON LADY.................kama u speaker ni kwa gender ungewezaaaaaaa
 
Mmmh smile bana unaniangusha on this........cant yu think of sisi kuwapiga chini ili kila mtu ale chake??????

May be ni kiama cha ndoa sasa instead

Ila umeulizwa chanzo cha habari naona unapita roundabout..........or u are still thinking?????
ipo kwenye mchakato wa katiba mpya mkuu teh teh
 
Sema Bank Statement, au Cash flow. i'm a businessman. Achana na hao wanaosubiri kupanga foleni Bank mwisho wa mwezi.
combine financial statment zako zote uje tuongee
 
ubaya gani si atakupa
wife atakuwa anakufanyia allocation ya fund maana hilo limewashinda

We are good and considerate ndo maana tunajali nje na ndani.......mkipewa nyie mtawanyima wadogo zenu (nyumba ndogo)
 
Nahama kabisa na la kufanya wakati katiba mpya inapitishwa naandaa petition kabisa kupinga haya
nadhani wanaume wote mtaandamana lakini ikipitishwa dunia itakuwa na maendeleo sana au unaonaje mkuu
 
Sasa je? mwanamke lazima atunzwe bana hata kama anazo.
 
nadhani wanaume wote mtaandamana lakini ikipitishwa dunia itakuwa na maendeleo sana au unaonaje mkuu
Wala hatuandamani, nikijakuoa hiyo system ni nzuri sana. Maana pesa zikiisha zimesha zikiwepo zipo kila mtu anajua.
Na hata kama haitakuwepo nikijaoa lazima mamaaaa nimkabidhi furushi lote. Nikitaka pesa ya petrol atanipa.
 
nadhani wanaume wote mtaandamana lakini ikipitishwa dunia itakuwa na maendeleo sana au unaonaje mkuu


Yaani hapo ndio didimizo la maendeleo litatokea
Maana nyie badala ya kufikiria maendeleo ndo mtaongeza budget za salon, kitchen party, nguo, vipodozi, pochi, na kuhonga nyumba ndogo zenu
 
wanaume wameumbwa mateso matesooooo kuhangaika..........ukizaliwa ww ni kijana kupata kazi kwako itakua tabu......oohooooo kijanaaaa...........umenikumbusha mbali sana shost.........
:focus:ila kumlisha mtu mpaka afe ni kazi ujue ama kweli uanaume kweli kazi khaa! kila tatizo likishindwa kupatiwa solution lawama zote kwa mwanaume wa familia hiyo........utawasikia eti ivo anajiita mwanaume kabisaaaaa......
:lol::lol::lol:MWANAUME PESA SIO SHATI NA SURUALI JAMANI:lol::lol::lol:
 
Huwezi kuolewa kwa mtazamo huu.Afadhali hata wanaofanya kazi usiku na kulala mchana.
 
umeona shosti hee kuna mwanaume hela inatoka kwa manaaati yaani anatoa kidogo akate roho. mwanamke matunzo bwana beby chukua laki tano ya window shoping nini hadi raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…