kiama cha nyumba ndogo.kina dada tuolewe tu sasa

Yaani hapo ndio didimizo la maendeleo litatokea
Maana nyie badala ya kufikiria maendeleo ndo mtaongeza budget za salon, kitchen party, nguo, vipodozi, pochi, na kuhonga nyumba ndogo zenu
kwani kwenda saluni si maendeleo?
 

hapo atakuwa anataka kuujua uume wangu uko wapi,,, anataka pesa iingie kwenye a/c yake akafanye.... kama mimi ndo nafanya kazi mimi ndo mmiliki wa mapato yangu!!
 
kwani kwenda saluni si maendeleo?

Maendeleo wakati ni matumizi aise
duh definition zetu za maendeleo na zenu zinatofautiana sana
Mi nikienda salon natumia 2000 tena wiki mbili kama nina nywele zangu za kipilipili
Ila wewe kwa wiki mara mbili na kila unapoenda 50,000 inatoka
hapo kuna maendeleo kweli
 
Ukimpa hela madame utajuta kuzaliwa maana wanawake kwa kawaida ni wabahili sana, kila matumizi yako ataona unatupa pesa. Yani itakuwa soo utatembea na gari mafuta yapo E kila siku taa inawaka.
 
Toka zamani wanaume wanawapa wake zao mshahara sioni jipya, na mimi nafanya hivyo pia.

Kosa liko wapi, na ajabu ipo wapi.

Nyie sibado mmelala usingizi, ndo mana mnaona jipya.

Afu FYI 1/4 ya mshara wa mwanaume ni lazima uwe wa mke wake, 1/4 wazazi wake+watoto zake, 1/4 ya matumizi nyumbani kwake, na 1/4 ni lazima iwe yake akisave asisave haiwahusu :biggrin:
 
Ukimpa hela madame utajuta kuzaliwa maana wanawake kwa kawaida ni wabahili sana, kila matumizi yako ataona unatupa pesa. Yani itakuwa soo utatembea na gari mafuta yapo E kila siku taa inawaka.
Utajuta vipi ukisha mpa, ni zake sio zako tena, ni aibu sana kumuomba mke wako pesa :biggrin:
 

hapo kwenye red inaonyesha we ni tegemezi sn na ni mtu kitu.
 

umenena vema dada,hakika shemeji inabidi ajivunie kuwa na wewe,i hate mi mwanamke tegemezi.
 
Hii umeipata wapi Smile? Sasa hizi nyumba ndogo, itabidi zitafute jamaa waliojiajiri (self employed) kwani wao wanajilipa wenyewe

They have to find Entrepreneurs who can fullfill their needs, otherwise watakoma mbona..
 
Wahi mapema maana wanaweza kwisha kabla hujampata wako huyo mwenye mshahara mnono

Kama ndoa / mapenzi ni mishahara iliyonona
 

hivi hii bongo hakuna? Mbona sie huku mshahara mwanamke anapokea lakini bado nyumba ndogo zipo? Kuwa na nyumba ndogo sio kwamba unatoa pesa siku hizi wao ndo wanatoa maana wanaume wamepungua tunadeka
 
Mtapata sana laana nyie nyumba ndongo mnatufanya tuwasahau wake zetu kwa mapigo yenu
 

Kwa hiyo wewe ni mfanyabiashara katika hili?
 

Smile kuna utafiti naufanya kuhusu pesa inyobadili tabia za watu.Sasa nitaongeza na hicho kipengele chako cha mshahara wa mwanamume apewe mwanamke...Majibu ya utafiti nitatoa mwezi wa sita 2012
 
Wanaume wa TZ wataandamana.
Sio haki hata kidogo
 

Halafu weweeee!!!

We haya tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…