Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
Please go refer to a high court ruling passed yesterdayYou can only be recalled after one year
Wewe ona tu .....and how is that a bad/good thing?Ninaona huko mbele taifa la kenya linaweza kusambaratika kwa kutumia katiba yao hii hii
Ninaona huko mbele taifa la kenya linaweza kusambaratika kwa kutumia katiba yao hii hii
Mmeanza ku move backwards kwa katiba hiyo mmeanza kudai kujitenga,ukabila hautawaacha salamaNyie ni cowards wa kutupwa.... We shall keep improving our Katiba to help us move this country forward... Nyie mliogopa kutengeneza yenu
Ni bad kwa sababu mtakua vipande vipande,najua mlitaka Raila ashinde,hata mie nilimpenda Raila,lakini msifikirie kugawanyika Sam kwa sababu tu Raila kashindwa uchaguzi sio lele mama Raila tulimpa mchoro wote lakini alilala