jamani jitahidini kufuata kiapo hiki. na tumieni email zenu kuwatumia (to forward) ndugu, jamaa na marafiki ZETU KABLA YA SIKU YA KUPIGA KURA. NDUGU ZETU WANAWEZA PIA KUPRINT NA KUZAMBAZA KWA WATU WENGI KADRI INAVYWEZEKANA. MUNGU IBARIKI TANZANIA. EMAIL YANGU NI quality.chality0@gmail.com WA MAWASILIANO ZAIDI
MPAMBALYOTO, Nakushukuru. ila katika pdf doc, nimeweka isuue kuhusu vitisho vya jeshi na CCM. Lakini tungeweza kuiboresha na kuipublicise au kuifikisha kwa wengi.