ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Hii sio kutoka kwa janabi hii ni kutoka kwa Wataalamu wanasayansi wa mambo ya lishe wanapendekeza Saizi ya kawaida ya mchele kwa watu wazima ni ½ kikombe cha mchele uliopikwa.
Size hio ni sawa na ukubwa kama wa chungwa Hivi. mchele mweupe huo unatosha kabisa kutoa nyuzi nyingi zaidi, protini, na virutubisho vingine.haukatazwi kula mchele kila siku hauna shida ila ukiwa unakula kula mpunga kidogo halafu mboga mboga ziwe nyingi.