ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Asante kwa taarifa 🙋♀️Hii sio kutoka kwa janabi hii ni kutoka kwa Wataalamu wanasayansi wa mambo ya lishe wanapendekeza Saizi ya kawaida ya mchele kwa watu wazima ni ½ kikombe cha mchele uliopikwa.
Size hio ni sawa na ukubwa kama wa chungwa Hivi. mchele mweupe huo unatosha kabisa kutoa nyuzi nyingi zaidi, protini, na virutubisho vingine.haukatazwi kula mchele kila siku hauna shida ila ukiwa unakula kula mpunga kidogo halafu mboga mboga ziwe nyingi.
Ukitaka kujichanganya Anza kuweka masharti ya msosi,hao wataalamu Kila mtu anataka tuishi wanavyoishi ni ngumu kibongo bongo maana chakula pia kinaendana na umri,kazi na appetite Sasa nusu mpasua mawe au fundi zege ako kanusu kanatosha niniHii sio kutoka kwa janabi hii ni kutoka kwa Wataalamu wanasayansi wa mambo ya lishe wanapendekeza Saizi ya kawaida ya mchele kwa watu wazima ni ½ kikombe cha mchele uliopikwa.
Size hio ni sawa na ukubwa kama wa chungwa Hivi. mchele mweupe huo unatosha kabisa kutoa nyuzi nyingi zaidi, protini, na virutubisho vingine.haukatazwi kula mchele kila siku hauna shida ila ukiwa unakula kula mpunga kidogo halafu mboga mboga ziwe nyingi.
Duu Protein Tena .... Mienajua ni wanga mkali sanaMnatuchanganya! Mlisema wali ni wanga
Mbona leo unasema ni protein tena[emoji41]
Mzee yule anatuchanganya,asante kwa taarifa muhimuHii sio kutoka kwa janabi hii ni kutoka kwa Wataalamu wanasayansi wa mambo ya lishe wanapendekeza Saizi ya kawaida ya mchele kwa watu wazima ni ½ kikombe cha mchele uliopikwa.
Size hio ni sawa na ukubwa kama wa chungwa Hivi. mchele mweupe huo unatosha kabisa kutoa nyuzi nyingi zaidi, protini, na virutubisho vingine.haukatazwi kula mchele kila siku hauna shida ila ukiwa unakula kula mpunga kidogo halafu mboga mboga ziwe nyingi.
Nasubiri jibuMnatuchanganya! Mlisema wali ni wanga
Mbona leo unasema ni protein tena😎
Hivi watu wanakula mchele au wali?Hii sio kutoka kwa janabi hii ni kutoka kwa Wataalamu wanasayansi wa mambo ya lishe wanapendekeza Saizi ya kawaida ya mchele kwa watu wazima ni ½ kikombe cha mchele uliopikwa.
Huyo ndio bird johnView attachment 3006601
Namsubiri abishane na google
Do we bugia mchele,mpunga,mamchele or wali?😎Hii sio kutoka kwa janabi hii ni kutoka kwa Wataalamu wanasayansi wa mambo ya lishe wanapendekeza Saizi ya kawaida ya mchele kwa watu wazima ni ½ kikombe cha mchele uliopikwa.
Size hio ni sawa na ukubwa kama wa chungwa Hivi. mchele mweupe huo unatosha kabisa kutoa nyuzi nyingi zaidi, protini, na virutubisho vingine.haukatazwi kula mchele kila siku hauna shida ila ukiwa unakula kula mpunga kidogo halafu mboga mboga ziwe nyingi.
Utakabwa na nyama.Kuwa makini.Yani nikutane na pilau na kachumbari halafu nile nusu kikombe kweli? liwalo na liwe
Kama una miaka 15 30 ww fakamia tuYani nikutane na pilau na kachumbari halafu nile nusu kikombe kweli? liwalo na liwe
Wanasayansi gani hao wa lishe waliokwambia kuwa mchele ni protini??Hii sio kutoka kwa janabi hii ni kutoka kwa Wataalamu wanasayansi wa mambo ya lishe wanapendekeza Saizi ya kawaida ya mchele kwa watu wazima ni ½ kikombe cha mchele uliopikwa.
Size hio ni sawa na ukubwa kama wa chungwa Hivi. mchele mweupe huo unatosha kabisa kutoa nyuzi nyingi zaidi, protini, na virutubisho vingine.haukatazwi kula mchele kila siku hauna shida ila ukiwa unakula kula mpunga kidogo halafu mboga mboga ziwe nyingi.
Mpunga kidogo mbogamboga ziwe nyingi..😀haukatazwi kula mchele kila siku hauna shida ila ukiwa unakula kula mpunga kidogo halafu mboga mboga ziwe nyingi.