Mnataka kumtengenezea bifu na akina EL
tukimpa tumeliwa
Kwani ana ubaya gani unaomnyima sifa za kugombea urais?
haya ni machale yangu binafsi yanayonicheza kuwa huyu mama anajipanga,..ndio home sweet home lakini
hivi vitrip vyake lately sio bure halafu ****** body language yake pembeni ni kama anasema,.this is the next one,..rejea kauli ya UVCCM kwamba jina la next president analo mezani kwake,...tumeangalia jinsia,..zamu ya wanawake blahblahblah.....
haya ni machale yangu binafsi yanayonicheza kuwa huyu mama anajipanga,..ndio home sweet home lakini
hivi vitrip vyake lately sio bure halafu ****** body language yake pembeni ni kama anasema,.this is the next one,..rejea kauli ya uvccm kwamba jina la next president analo mezani kwake,...tumeangalia jinsia,..zamu ya wanawake blahblahblah.....
Wataka radhi wanawake tafadhali!!Wanawake wa Tz ..Sophia Simba, Anne Makinda,Selina Kombani, yule wa Utumishi sijui ndiye nani tena ... maboara wakubwa. Huyu atakuwa na tofauti gani hadi awe Rais.