Habari za weekend wakuu.
Katika maisha mambo ni moto kuna kupanda na kushuka. Kuna kipindi unaenda kwa wakala unashindwa kumwambia natoa buku au akuunge kifurushi maana hali ni ngumu. Na siku ukienda na kimeo kama hivyo watu kibaoo unahangaika tu kama mtu anayetaka kukopa kwa Mangi.
Kwako ni kiasi gani ukifika kwa wakala hali inakuwa ngumu ?