Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Ccm na Tz, ilianza Ccm yaani Tanu.kila jambo lina mwanzo wake na mwisho kuna mwanzo wake pia hivi tunaweza kuwekeza fikra zetu kujua asili la ya jambo fulani?mfano kati ya yai na kuku kipi kilianza? CCM na TANZANIA? WIZI na TAMAA tunapojua kiini cha jambo fulani tunaweza kujua namna ya kuondosha tatizo fulani..
kwahy ina maana gani hapo?Ccm na Tz, ilianza Ccm yaani Tanu.
una maana nchi yetu ki asili ni kiwizi?tamaa au ufisadi au sioKiasili ili dhambi ifanyike lazma kuwe na figure,character au chochote ili ki-interrupt ubongo uanze kufikiri uovu......kwa maana binadamu yoyote kitabia ni matokeo ya vinavyomzunguka
No nchi haiwezi kuiba ila watesi ndio .........una maana nchi yetu ki asili ni kiwizi?tamaa au ufisadi au