Kiasili sisi ni wanyama ila ubinadamu ni artwork

Kiasili sisi ni wanyama ila ubinadamu ni artwork

Okoth p'Bitek

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2019
Posts
1,124
Reaction score
1,384
Kama kawaida, mtoto akipata nafasi ya kwenda kucheza Kwa jirani anaitumia vizuri..

Ok Moja Kwa Moja kwenye mada,
Kwanini binadamu si binadamu Bali ni mnyama aliyezunguka porini Kwa miaka 150k kabla ya kukutana na huyu anayemuita Mungu
Tuanze na kitabu chake pendwa, I mean bible

Adamu na Hawa ndio waliokuwa wanadamu wa kwanza kutenda dhambi. Walipokosa kumtii Mungu kwa kula tunda kutokana na “mti wa ujuzi wa mema na mabaya,

Huu mti wa mema na mabaya ni mti gani kama sio maadili, I mean morality. Good or evil Right?!
Hapo kabla ya kula tunda bibilia inatueleza wazi kabisa kuwa adamu na Hawa ikiwa na maana ya mwanaume na mwanamke waliishi bustani ya Edeni(Tanzania) bila kujisitiri Kwa chochote ni nani anaishi bila kuvaa nguzo kama sio tabia ya ng'ombe mbuzi na our very own ancestors.

Pia inatueleza kuwa adamu na Hawa waliishi Kwa kula matunda na nyama na Hawa ndio alimshawishi adamu ale tunda, kihistoria mwanaume alikuwa mwindaji huku akina Hawa kazi yao kubwa ilikuwa ni kukusanya matunda, I mean gathering huu utaratibu unaendelea mpaka Leo kwenye jamii ya hadzabe Moja ya kabila la kihistoria linaloakisi maisha ya vizazi vyetu vya nyuma.

Hapo tunapata jawabu la Moja Kwa Moja kwamba adamu na Hawa walikuwa hunter gather

Pia tabia ya will to power sio tabia ya kibinadamu, hii ni tabia ya wanyama wote angalia simba, tembo, chui, homo sapiens nk na inaendeshwa na life preservation instincts...binadamu anahitaji power ili aipeleke wapi?!😅

Ushahidi wa kihistoria wa uwepo wa hadzabe community ndani ya nchi yetu pia ni ushahidi tosha wa kile kilichokuwa kinaendelea kipindi Cha adamu na Hawa kabla hawajamjua Mungu, I mean uwepo wa specie ya aina ya homo sapiens anayeishi kama mnyama simba anavyoishi nyikani.

Ushahidi mwingine ni uwepo wa asilimia 1-4 ya DNA ya neanderthal another human species Kwa modern humans.

Usiku mwema wanyama wenzangu, mwenye kuchukia na achukie maana kuchukia ni tabia ya kishenzi tuliyoambukizwa na ukristu Kwa kufundishwa kumchukia shetani na mabaya yake yote.

Kwanini binadamu au man is useless, this bs killed our very own life preservation instincts....no power in man.

Kitendo Cha homosapiens kuweza kusimamia upright tena Kwa miguu miwili aliambukizwa pia na sifa ya ujinga, kujua Kila kitu

Mpinga kristu
 
gg.jpg
 
Back
Top Bottom