Kiatena chako

Che Kalizozele

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2008
Posts
777
Reaction score
50
Mama mmoja aliingia katika ofisi fulani,tatizo hakupiga hodi hivyo wenyeji wake ambao wote walikuwa wanaume wakahamaki,

Wenyeji: we vipi,mbona haupigi hodi? ungetukuta tunavaa je?

Mama mgeni: Kwani tatizo liko wapi,wote humu tuko wanaume watupu.huku akicheka

Wenyeji: Alaaah kumbe,ebu tuonyeshe kiatena chako.

wote wakacheka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…