comrade_kipepe JF-Expert Member Joined Jun 25, 2019 Posts 3,411 Reaction score 4,435 Sep 16, 2019 #21 kipige polishi
Muuza simu used JF-Expert Member Joined Aug 23, 2017 Posts 4,393 Reaction score 7,074 Sep 16, 2019 #22 Mtafiti77 said: Si ajabu ukawa wewe ndo unahitaji tiba ya mionzi kabisa. Maana katika hili huwa hawajitaji,huonekana tu. Click to expand... Kuonekana nyumba ya keyboard!?
Mtafiti77 said: Si ajabu ukawa wewe ndo unahitaji tiba ya mionzi kabisa. Maana katika hili huwa hawajitaji,huonekana tu. Click to expand... Kuonekana nyumba ya keyboard!?
Deaf Milionaire JF-Expert Member Joined Apr 21, 2019 Posts 426 Reaction score 497 Sep 16, 2019 #23 Petrol
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 31,415 Reaction score 38,761 Sep 16, 2019 #24 gonga peanutbutter hapo umalize kabisa hiyo mambo dakika mbili tu.
Mtafiti77 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2011 Posts 1,877 Reaction score 2,314 Sep 17, 2019 Thread starter #25 Siafu na Manga said: Hapo tafuta Dark tan Click to expand... Asante sana.ila naiona shida ya rangi hizo,mpaka sasa kuna mapendekezo kama matatu hivi. Inachanganya sana
Siafu na Manga said: Hapo tafuta Dark tan Click to expand... Asante sana.ila naiona shida ya rangi hizo,mpaka sasa kuna mapendekezo kama matatu hivi. Inachanganya sana
Mtafiti77 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2011 Posts 1,877 Reaction score 2,314 Sep 17, 2019 Thread starter #26 Muuza simu used said: Kuonekana nyumba ya keyboard!? Click to expand... Popote tu. Maana haina kuigiza
Muuza simu used said: Kuonekana nyumba ya keyboard!? Click to expand... Popote tu. Maana haina kuigiza
Mtafiti77 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2011 Posts 1,877 Reaction score 2,314 Sep 25, 2019 Thread starter #27 Gidbang said: Si awe tunkqma wewe kwenye avata yako anaohopa kudukuliwa miguu Click to expand... Wala sioHOPI mheshimiwa, ni suala la kuuliza kinachotakiwa tu.
Gidbang said: Si awe tunkqma wewe kwenye avata yako anaohopa kudukuliwa miguu Click to expand... Wala sioHOPI mheshimiwa, ni suala la kuuliza kinachotakiwa tu.
leloic JF-Expert Member Joined Apr 6, 2013 Posts 1,006 Reaction score 2,720 Sep 25, 2019 #28 Mkuu. Nenda mahali wanapopiga rangi weka viatu Chukua gazeti soma subiri kitoke Kikitoka fresh uliza iyo rangi
Mkuu. Nenda mahali wanapopiga rangi weka viatu Chukua gazeti soma subiri kitoke Kikitoka fresh uliza iyo rangi
Mtafiti77 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2011 Posts 1,877 Reaction score 2,314 Sep 25, 2019 Thread starter #29 leloic said: Mkuu. Nenda mahali wanapopiga rangi weka viatu Chukua gazeti soma subiri kitoke Kikitoka fresh uliza iyo rangi Click to expand... Hii nimeipenda!
leloic said: Mkuu. Nenda mahali wanapopiga rangi weka viatu Chukua gazeti soma subiri kitoke Kikitoka fresh uliza iyo rangi Click to expand... Hii nimeipenda!