Sambusa kavu
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 806
- 1,296
Wataalamu wa jukwaa hili nawasalimu kwa moyo wote..yamkini inawezekana nisiwe pekeyangu ninaetatizwa na hili jambo ila naamini ndani ya hili jukwaa basi nitapata suluhisho kamili..Nimekuwa napendelea nguo nyingi sana za cardet kuliko jeans na ndo nguo ninazozivaa sana,chini uwa navalia cardet yangu na viatu mara nyingi travorta...lakini mke wangu amekuwa akiniambia mara kwa mara nikiwa navaa cardet na travota eti sipendezi na ananambia nivae viatu vingine...ebu nishaurini wanajukwaa ni viatu vipi hasa vinapendeza kuvaa na cardet??
valia na viatu vya ngozi kawaida vya chini au raba pia za chini kama vans ,sneakers, all star n,kWataalamu wa jukwaa hili nawasalimu kwa moyo wote..yamkini inawezekana nisiwe pekeyangu ninaetatizwa na hili jambo ila naamini ndani ya hili jukwaa basi nitapata suluhisho kamili..Nimekuwa napendelea nguo nyingi sana za cardet kuliko jeans na ndo nguo ninazozivaa sana,chini uwa navalia cardet yangu na viatu mara nyingi travorta...lakini mke wangu amekuwa akiniambia mara kwa mara nikiwa navaa cardet na travota eti sipendezi na ananambia nivae viatu vingine...ebu nishaurini wanajukwaa ni viatu vipi hasa vinapendeza kuvaa na cardet??
Kusema ukweli kupendeza ni "IMANI". Kuna mtu anapendeza haswa, hadi unamsifia lakini utashangaa kimoyomoyo anakuona kama unamsanifu, yani haamini. Na kuna watu hawapendezi ila wenyewe wanajiona wamependeza kuliko maelezoHahaha nimependa ulivyoipa heshima. "Vazi la cardet". Cadets/khakis zinaingia na mguu wowote, inategemea tu unataka kutoka vipi (kiofisi au casually).
Na pia kama wife hataki utoke unavyotokea, then akuambie yeye anataka utokee vipi. Otherwise, vaa unavyojisikia. Mwisho wa siku hata ukipendeza vipi mbele za watu, kama hujisikii haina maana.
Mimi nafikiri muhimu ni wewe mvaaji kujisikia vizuri zaidi ya mawazo ya mtu mwingine. Kwasababu kuna mwingine unachokivaa wewe hata kiwe kizuri vipi yeye anaona kibaya kwasababu sio style yake. Labda kama unavaa kwa ajili ya watu.Kusema ukweli kupendeza ni "IMANI". Kuna mtu anapendeza haswa, hadi unamsifia lakini utashangaa kimoyomoyo anakuona kama unamsanifu, yani haamini. Na kuna watu hawapendezi ila wenyewe wanajiona wamependeza kuliko maelezo
Hii ina uhusiano gani na cardet??!!!
Exactly, ndo maana Nikasema kupendeza ni "IMANI" ya muhusika.Mimi nafikiri muhimu ni wewe mvaaji kujisikia vizuri zaidi ya mawazo ya mtu mwingine. Kwasababu kuna mwingine unachokivaa wewe hata kiwe kizuri vipi yeye anaona kibaya kwasababu sio style yake. Labda kama unavaa kwa ajili ya watu.