Hilo halina umasai wowote ,ni maigizo tu ya hawa watoto wa mjiniKama mother tongue ina affect mpaka uandishi huyu atakua ni mmasai tu si ndio hata supu wanaita subu.
Kuna jamaa humu Jf alikua anatafuta mtu anaye pandisha maruhani nadhani ashampata ,subiria wakati mwingine tenaSa uigiziwe kwa 'audisheni' zipi babu we! Em nendaga huko...
Achana na huyu mfa maji.... Kachochezi ka-bifu haka katoto wewe acha tu, kacheki nyendo zake utagundua sitaniiduh wabongo sisi tuna kazi, angekuwa oppossite pia ingekuwa shida
Yeye ndio alimtoa, wakati akiwa CEO wa Sharobaro... Ni mwanae wa kumlea!
unamanisha nini jane??Kiba kashaanza kulegea kwa Simba.
Hahahaa!!Hata hivyo Kiba hana shukrani, Mond kamwachia videm vyake hata kusema asante hakuna.
Hahahaa!!
Ila sku hizi naona mademu wa bongo movie wanakomaa na waimba nyimbo.. Hata madansa au hata katoto kakiwa na tunyimbo tumoja bongo muvi hawaoni shida kupanua upaja
sijui wanachanganyikiwa na nini haki ya Mungu!! ila me nadhani wanaume ndiyo wenye matatizo, mfano diamond alipotoka tu kaanza kukomaa na wema,mara jokate mara Wolper....huyu Idris nae kapiga hela tu huyo kwa wema,huyu Harmonize nae ameona akomae na Wolper,tena huyu Harmonize inawezekana kabisa alikuwa anataka aende kwa wema basi tu amemuonea aibu diamond...nashindwa kizielewa akili za hawa watu kwakwelimadem wa bongo ni cha wote wewe huoni kijyaa mmama kama wolper anamuonyesha uchi wake mtoto harmonize?
we ni me au ke? ila nnayemjua mimi ni me,sasa nashindwa kuelewa hapaSa uigiziwe kwa 'audisheni' zipi babu we! Em nendaga huko...