Kiba ampigia debe Diamond

Hahahaa!!
Ila sku hizi naona mademu wa bongo movie wanakomaa na waimba nyimbo.. Hata madansa au hata katoto kakiwa na tunyimbo tumoja bongo muvi hawaoni shida kupanua upaja
ni kwasababu Mapedeshee wameishiwa baada ya JK kutoka madarakani.
 
Hahahaa!!
Ila sku hizi naona mademu wa bongo movie wanakomaa na waimba nyimbo.. Hata madansa au hata katoto kakiwa na tunyimbo tumoja bongo muvi hawaoni shida kupanua upaja
ni kwasababu Mapedeshee wameishiwa baada ya JK kutoka madarakani.
 
Kidingi habari yako? Za siku nyingi
 
siku zote mashabiki ndio huharibu mahusiano ya wasanii hawa.. Inawezekana Kiba amefanya hivyo kwa moyo mmoja akiamini kuwa wote ni Wanamuziki na wanahitaji kupeana nguvu inapobidi.. Suala la hizi team na Ushabiki wa kipuuzi na usio na maana.. Ndio huharibu.
 
Kuna habari mesikia mahali kuwa Kiba ameomba Watanzania wampigie kura Chibu, Baba Tiffah, Nasibu Abduli, Diamond Platinumz, kwenye tuzo Fulani za kimataifa, kwenye Kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio.
ni LAZIMA ATOE SALUTI KWA DIAMOND(SIMBA MKALI).. KWA SIMBA KILA GOTI LITAPIGWA
 
Alikiba amewaomba watanzania kumpigia kura Diamond anayewania tuzo ya BET zitakazofanyika, Juni 26 Los Angeles, Marekani.
Wiki iliyopita Diamond alitangazwa kuwania tuzo ya BET kwa mara ya pili kwenye kipengele cha Best International Act: Africa akiwa ni msanii pekee kutoka Afrika Mashariki huku tuzo hiyo ikiwaniwa na wasanii wengine kama Wizkid, Yemi Alade, AKA, Cassper Nyovest, Black Koffie, MZVEE na Serge Beynaud.
Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo, kinachoruka kupitia EA Radio, Alikiba aliwaomba watanzania wampigie kura Diamond kwenye tuzo anazoshiriki za BET na kusema kuwa yeye ndiye msanii pekee anayeiwakilisha Tanzania kwenye mashindano hayo hivyo watanzania wampigie kura ili aweze kushinda.
“Of course nawasupport wote ndiyo, vote for Diamond kwenye tuzo za BET kwa sababu yeye ndiyo anayetuwakilisha,” alisema Alikiba.
Alikiba kwa sasa ni msanii aliye chini ya label ya Sony Music na wimbo wake mpya ‘Aje’ unafanya vizuri kwenye TV na Redio japo una siku tano tu tangu utoke, May 19.
 
Huo ndio ukomavu sasa tatizo la mashabiki wao hudhani kukubali mtu ni dalili za kushindwa naomba waende mbele waing'arishe tanzania katika tasnia hiyo kejeli,majivuno si uungwana kutoka kwa mashabiki wao.
 
NMetembelea account yake ya insta siajaona kapost wap au twitter
 
Safi sana hivyo ndivyo tunavyotaka umoja na ushirikiano utafikisha sanaa yetu mbali ila kuendelea shabikia team nani nani kwa instagram ni upuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…