Anti-Hacker JF-Expert Member Joined Oct 1, 2018 Posts 803 Reaction score 1,233 Sep 18, 2019 #41 Mnyaluhala. said: Nyie watu achaneni na maisha ya watu tafuteni pesa, haya mambo ya kujadili wanaume mwisho mnaishia kuwa mashoga mbanduliwe. Click to expand... Yani kama were vile..we umetafuta hizo pesa umepata ngap...pia hapo Luna kosa gan kujadili opportunity ya MTU kupata na kukosa,huon kuna watu wanajifunza Nyaaaaaau.....
Mnyaluhala. said: Nyie watu achaneni na maisha ya watu tafuteni pesa, haya mambo ya kujadili wanaume mwisho mnaishia kuwa mashoga mbanduliwe. Click to expand... Yani kama were vile..we umetafuta hizo pesa umepata ngap...pia hapo Luna kosa gan kujadili opportunity ya MTU kupata na kukosa,huon kuna watu wanajifunza Nyaaaaaau.....
Waberoya Platinum Member Joined Aug 3, 2008 Posts 15,168 Reaction score 10,810 Sep 18, 2019 #42 Numbisa said: Kiba ni msanii mwenye nyodo,maringo,majivuno,majibu mafupi ya kukera chini ya kivuli cha upole,ustaarabu,privacy Click to expand... ila wenye tabia hizo bado wanapata dili
Numbisa said: Kiba ni msanii mwenye nyodo,maringo,majivuno,majibu mafupi ya kukera chini ya kivuli cha upole,ustaarabu,privacy Click to expand... ila wenye tabia hizo bado wanapata dili
nusuhela JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 5,915 Reaction score 7,210 Sep 18, 2019 #43 Pulisic CFC said: Kweli Click to expand... Mond ana management inayojielewa. Wapo mjini kutafuta hela
Pulisic CFC said: Kweli Click to expand... Mond ana management inayojielewa. Wapo mjini kutafuta hela
Mtumishi wa Bwana89 JF-Expert Member Joined Jul 23, 2018 Posts 3,191 Reaction score 4,220 Sep 18, 2019 #44 Team imbayo iko nyuma yake inajua kazi yake pia diamond unajua kuji-brand Pepsi now wanauza sana kwasababu ya kumuweka mkubwa wao
Team imbayo iko nyuma yake inajua kazi yake pia diamond unajua kuji-brand Pepsi now wanauza sana kwasababu ya kumuweka mkubwa wao