Wameshafunga kitabu mkuu sasa ni historia kama Vita ya Majimaji.Bado mtoto WA jokate yupo njian
Ni utoto tu na usuper star unamdanganya. Bado anahitaji zaidi kula ujana.Wanawake wote hao anashindwana nao, yeye ndo ana matatizo
Usijari atakufikia tuBasi sawa...aendelee tu kutafuta atakayemfaa
Haya maneno yamenisababisha nifikirie mandhari ya msoga.Ukiwa na tabia za kike huwezi kuishi na mwanamke!!....wala sina maana hiyo
huwa najiuliza sana anakwambia we mwaga tu shauri lakoLakin kweli kwa dunia ya sasa waweza zaa na wadada zaid ya kumi hawaeleweki hawa wenzetu unakuta mke wa mtu anakwambia nimwagie tu bae
huwa najiuliza sana anakwambia we mwaga tu shauri lako
si mke wa mtu si nani yaani ni hatari.