Na ww kutwa kufatilia nimepost nn unafanya kazi saa ngapiKazi kweli, kutwa kucha unamfuatilia mwanaume mwenzio ya kwako unafanya saa ngapi sijui
Unajua kuwa ww ndo umekosa kazi ya kufanya, mpk kuja kuchangia kwenye mada ambayo unahisi ww haikufai in any means inadhihirisha ni kiasi gani upeo wako ni mdogomuda wangu wa mapumziko huu ila pia sipendi kufuatilia mambo ya wanaume kama wewe make ni zile tabia ambazo Makonda kazikataa au unataka nawewe N/W wa afya akutimie wito
Hahaha, duuuu!Na ww kutwa kufatilia nimepost nn unafanya kazi saa ngapi
Kiba ndo msanii aliyevunja record ya kuahirisha show baada ya tamasha lake kuhudhuriwa na watu wachache sana kupita maelezo....
Show ikaja kurudiwa lakini nayo haikuwa kama ilivozaniwa mahudhurio yakawa chinii sana.....hii ndo rekodi kali kutoka kwa king kiba
HahahaaaaHahaha, duuuu!
Na kweli anavuna alichopanda cyo kwa kutuaibisha ivoBado nashangaa vijana/wazee kuhangaika kunena mabaya ya watu waliojiajiri ama hata kuajiri kwa kutumia vipaji vyao....
Wangapi wana vipaji na bado wanalia serikali iwape ajira?
Mwache Ally avune alichokipanda..