Kiba kuja na tour ya dunia nzima

"its time to meet my fans across the world" i start at south africa hata kizungu changu cha zisi isi nimeelewa
usikalili English mkuu yaani ulitaka aandike unachotaka ww...... you start at
 
Hongera yake,ila kuonyesha kuwa mambo hayajakaa sawa bado hata Tarehe rasmi haijatajwa. Na hizo shoo sio kwamba ameitwa na promota hapana, ila wanafanya kama walivyojiandalia shoo kule Mombasa,faida au hasara itawahusu wote. All in all hongera kama litafanikiwa.
 
Mtumie akili haend kufanya show anafanya media tour.bado management yake haijafikia uwezo huo kwa sasa
 
Kiba hakuna kitu alichowai kufaulu labda fitna ndio anaweza. Hii show atazingua tu kama Dodoma alafu atakuja na lundo la excuse.
 
Kiba hakuna kitu alichowai kufaulu labda fitna ndio anaweza. Hii show atazingua tu kama Dodoma alafu atakuja na lundo la excuse.
kama mlivyozingua tour yenu na Ne-Yo ya uingereza. unaombea sana itokee hivo ila haitakua
 
South kwenyewe ukute anaenda kuimba kwenye mabaa then atakuja kujisifu kabisa show imejaza kuliko hata jay z......kama kweli anajiamini amuige mpinzani wake kuweka video YouTube
 
South kwenyewe ukute anaenda kuimba kwenye mabaa then atakuja kujisifu kabisa show imejaza kuliko hata jay z......kama kweli anajiamini amuige mpinzani wake kuweka video YouTube
show zzitakuwa mubashala hvo utashuhudia
 
Umeanza na kejeli ukaishia na pongezi
Hapana mkuu ni utani tu ambao wale wenye timu zao ndio huwa wanarushiana hayo maneno! Hata wakati nacomment nilikua nasikiliza ngoma ya kiba - far away ft Chidbenz
"Do you remember ulivyokwenda safari, huku nyuma Ali mimi sina hali
So useme tu, nakupenda sanaaa
Watu wanaumia aaaahaaaaai, ukinitenda ntaumia sana.....
...

Where is this kind of good music nowadays?
 
Huyu alisema yeye kwake tuzo sio muhimu ila sasa naona hadi kwenye bango kaanza kuandika kuhusu tuzo. Angalia hata hilo bango kaandika "Multi award winner" na kazitaja na hizo tuzo. Sasa sijui ilikuwa sizitaki mbivu hizi.
Nani aliekwambia kuwa bango huwa linaandikwa na Msanii?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…