Kama Diamond alimchukia Ali Kiba pamoja na kuwa Kiba alijulikana kama msanii ambaye Muziki wake ni wa humuhumu nchini yaani hauna hadhi ya kimataifa. Itakuwa vipi kwa kitendo cha Kiba kuanza kuucharanga muziki wenye kiwango cha kimataifa? Je Diamond si ndio atazidisha bifu ukizingatia kuwa sasa wataanza kugongana angani?
Yangu macho na masikio
Yangu macho na masikio