Kiba kuvamia soko la kimataifa; bifu lake na Diamond litazidi kukolea

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Kama Diamond alimchukia Ali Kiba pamoja na kuwa Kiba alijulikana kama msanii ambaye Muziki wake ni wa humuhumu nchini yaani hauna hadhi ya kimataifa. Itakuwa vipi kwa kitendo cha Kiba kuanza kuucharanga muziki wenye kiwango cha kimataifa? Je Diamond si ndio atazidisha bifu ukizingatia kuwa sasa wataanza kugongana angani?

Yangu macho na masikio
 
Naona umeamua kumfata Mange Kimambi
 
Me subiri niendelee kusoma "Comments" tu...............
 
Inamaana bado alikuwa wa matopeni.?
 
mashabiki wa yanga wanajipoza na story za diamond na kiba shubaaaamit..!!!
 
Ila kuna ka ukweli hapa. Wapambane tuu bila chuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…