MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Ali Kiba kafanya interview na mzazi Willy Tuva kuhusu tuzo za MTV leo na ametoa onyo kali sana kwa watu wenye tabia ya kuzima mic wakati anafanya yake jukwaani. Ali Kiba amesema kuna uwezakano mkubwa mtu akaumia endapo atataka kufanya mambo ya ajabu.
Mtanzania huyo ambaye kwa miaka mingi amekuwa na tabia za kutuwakilisha kimataifa pia amedai atakuwa msanii wa mwisho kupafomu katika tuzo hizo za MTV hii inatokana na waandaji kuhofia endapo akiwa wa kwanza kuimba shoo inaweza kuisha mapema baada ya King kushuka jukwaani.
MAONI: Watu ambao mko karibu na Wasafi ambao wana familia zinawategemea wapeni hizi taarifa hili kuondoa matatizo yyt yanayoweza kuji yasiyo ya muhimu.