Kiba unapofanya "Yaaaaaa" unaharibu nyimbo na unaboa

Mkuu iseme.kwa sauti tena niisikie vizur, maana nimeisahau,
 
Ile id yake baba kaila Naye ana yake,ney pia anayo( tru boi) mond naye ni wasafiiiiii
 
😀😀😀😀😀😀...Ati UKUNGA.
 
chuki binafsi tu hizo mkuu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na papiliiiiii pia
 
Pop it in
Kumbe ni 'pop it in' mimi huwa nadhani anasemaga popiriiiiiii hahahah kidhungu hiki bhana..

Alafu hivi anapayukaga yaaaaaaaaahh au yoooooooohhh (huku pua imebanwa)

Mtani njoo uone vijana wameanzisha vita ya mawe huku wakati wanaishi kwenye nyumba za vioo CC: peterchoka
 
aisee mtani kwanza niwape pole maana salome nayo imepita, yaani nyimbo za wcb sijui zina matatizo gani hazikai hata mwezi, poleni sana kwakweli
 
Eeeeeeeh kumbe, lakini na hiyo aache kuisema bana
Hawezi kumridhisha kila mtu ujue. Kuna tunaoipenda.
Eti anapayuka, hamna jema nyie, hebu mumuwache King.
 
Diamond platinum kiboko yao
 
aisee mtani kwanza niwape pole maana salome nayo imepita, yaani nyimbo za wcb sijui zina matatizo gani hazikai hata mwezi, poleni sana kwakweli
Hahahahaha mtani inamaana hujui kuwa Salome iko namba moja kila kona ya Africa! Acha masihara mtani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…