Kiba unazingua kijana

Kiba unazingua kijana

Elly_corner

Senior Member
Joined
May 5, 2015
Posts
120
Reaction score
205
How come haujamfollow hata mtu mmoja kwenye account yako...au ndo mapozi yenyewe haya..ina maana hata hutaki kushow love kwa wasanii wenzio :what:😡
 
Attachments

  • 1432228468139.jpg
    1432228468139.jpg
    53 KB · Views: 951
  • 1432228519125.jpg
    1432228519125.jpg
    58.6 KB · Views: 835
haina haja sasa ya kuwa na acc IG kaifungua ya nini
 
Mwacheni akae ni uamuzi wake kila mtu na life style lake. Tena nampongeza mno kuto kumfollow yoyote na haendeshwi na matukio.
 
Huyo akili ndogo anaiga vitu vya mastaa wa nje kazi kugawa mimba tu mxiuuuuuuu
 
Nawasubiri wenye hekima waje ili nije kuchangia nao hapo baadae.
 
How come haujamfollow hata mtu mmoja kwenye account yako...au ndo mapozi yenyewe haya..ina maana hata hutaki kushow love kwa wasanii wenzio :what:😡

Hivi kwanza umeshapigia kura Saut soul kwenye tuzo za BET?

Back to topic: Alikiba ni mfalme hivyo haina haja ya kuwafollow watu anaowaongoza bali wao ndiyo wanaotakiwa kumfollow Mfalme.
 
Hivi kwanza umeshapigia kura Saut soul kwenye tuzo za BET?

Back to topic: Alikiba ni mfalme hivyo haina haja ya kuwafollow watu anaowaongoza bali wao ndiyo wanaotakiwa kumfollow Mfalme.

Mfalme wa wap :what::what:
 
Sasa knachokuuma nn

Hakijaniuma brother...sema sidhani km ni kitendo cha kiungwana...najua mfalme wako hawez kufollow common people like me lakn ameshindwa hata kuwafollow wasanii wenzake 😱😱
Haya mapozi sijui kayatolea wap
 
Ila Kibba yupo wazi kuwa hawazi zaidi ya anachokipata sasa ila kuna hivi vijamaa vyake ndo vinamshindanisha na msanii anayewaza kimataifa
 
Sasa hili nalo ni jambo la msingi? Ange wa follow watu fulani lazima ungeuliza kwanini haja wafollow na watu huwatakao wewe....

Sioni kama ni jambo la msingi kabisa kwanza kaepusha shari maana unge anza kuuliza kwanni hakumfollow fulani.. Muda mwingine mnakuwa wachonganishi hadi mna pitiliza inaonekana ni utoto.
 
Back
Top Bottom