Kiba vs Diamond ni sawa na akili kubwa vs ndogo

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Unajuwa tuache shabikia ujinga kiba na diamond ni akili kubwa vs ndogo milele haziwezi fanana.
Tusidanganyane diamond ni sawa ma debe linavuma sana ila ndani hamna kitu ila kiba ni debe lenye kitu basi tu kunamakosa kama taifa tumeyafanya. Nakama vipi tujirekebishe.

Kimtonyo mim nauwakika mondi hana kitu ila kiba yupo vizuri nahata muda sio mrefu ukweli utajulikana tusisifie mtu bila kujuwa ukweli.

Ukitaka juwa matumizi ya mtu mwangalie anao tumia nao Domo anatumia pesa vibaya haangalii kesho mwenzake anatumia kwa akili sasa mtu alie namatumiz ya akili hawez pendwa na bad use of money.
 
Tangu niujue muziki wa Bongo flava sijawahi kumuona Mondi kama ni msanii mkali kama mwimbaji zaidi ya mbana Pua, ingawa Kiba ana-afadhali kidogoooo, Kuna wanamuziki wazuri sana Tz kama wakipata Management Nzuri na kama wakijituma Mfano Maua Sama, Rama Dee, Mtoto m'moja wa Kike alishawahi imba nyimbo inaitwa Free Soul, Barnaba Boy, ni wazuri sana kama ukiuzungumzia muziki kama muziki mbali na maswala ya Management ambayo yamemsaidia sana Mondi Kimafanikio
 
Kiba anaishi wapi?

Umeshawahi kaa pale karibu na NEXT DOOR Segerea ukashuhudia vya kushuhudia ?
 
Tangu niujue muziki wa Bongo flava sijawahi kumuona Mondi kama ni msanii mkali kama mwimbaji zaidi ya mbana Pua, ingawa Kiba ana-afadhali kidogoooo, Kuna wanamuziki wazuri sana Tz kama wakipata Management Nzuri na kama wakijituma Mfano Maua Sama, Rama Dee, Mtoto m'moja wa Kike alishawahi imba nyimbo inaitwa Free Soul, Barnaba Boy, ni wazuri sana kama ukiuzungumzia muziki kama muziki mbali na maswala ya Management ambayo yamemsaidia sana Mondi Kimafanikio
Kuna point umeandika za kumkubali MONDI.. Unaposema
1. kama wakipata Management Nzuri na kama wakijituma ... MAANA YAKE MONDI ANAYAWEZA HAYO
2. maswala ya Management ambayo yamemsaidia sana Mondi Kimafanikio... HUKU NI KUMKUBALI MONDI LIVE AND DIRECT
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utakuwa na matatzo ya akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu niujue muziki wa Bongo flava sijawahi kumuona Mondi kama ni msanii mkali kama mwimbaji zaidi ya mbana Pua, ingawa Kiba ana-afadhali kidogoooo, Kuna wanamuziki wazuri sana Tz kama wakipata Management Nzuri na kama wakijituma Mfano Maua Sama, Rama Dee, Mtoto m'moja wa Kike alishawahi imba nyimbo inaitwa Free Soul, Barnaba Boy, ni wazuri sana kama ukiuzungumzia muziki kama muziki mbali na maswala ya Management ambayo yamemsaidia sana Mondi Kimafanikio
Grace Matata, she is so talented basi ni vile management sijui....
 
Kuna point umeandika za kumkubali MONDI.. Unaposema
1. kama wakipata Management Nzuri na kama wakijituma ... MAANA YAKE MONDI ANAYAWEZA HAYO
2. maswala ya Management ambayo yamemsaidia sana Mondi Kimafanikio... HUKU NI KUMKUBALI MONDI LIVE AND DIRECT
Yap ni kweli kabisa Nyeusi ni Nyeusi tuu mkuu kwa upande huo Hongera zake nyingi sana zimfikie..
 
Masikini anatabia ya kumchukia tajiri. Sikushangai kwa post hii, huna data wala illustrations za kuonesha ukweli Wa madai yako.
 
Tangu niujue muziki wa Bongo flava sijawahi kumuona Mondi kama ni msanii mkali kama mwimbaji zaidi ya mbana Pua, ingawa Kiba ana-afadhali kidogoooo, Kuna wanamuziki wazuri sana Tz kama wakipata Management Nzuri na kama wakijituma Mfano Maua Sama, Rama Dee, Mtoto m'moja wa Kike alishawahi imba nyimbo inaitwa Free Soul, Barnaba Boy, ni wazuri sana kama ukiuzungumzia muziki kama muziki mbali na maswala ya Management ambayo yamemsaidia sana Mondi Kimafanikio
Unazungumzia menejiment ipi, unamaanisha Babutale ni meneja bora kuliko kuwa chini ya Ruge? Nachojua Barnaba anatoka tht ambayo ni ya Ruge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umasikini huu unaumiza roho sanaa! hapo unaumizwa na matumizi ya pesa za mtu ambaye anaingiza pesa ndefu sanaa kimuziki na bado ana biashara zake za ziada kama nyumba nyingi tu ambazo hata akiacha mziki leo anauhakika wa kusomesha watoto wake shule bora sanaa nakuishi maisha bora.
Sijui hata umepiga hesabu akiamua kukomaa na karanga zake tu bado ataishi maisha bora.
MOYO wa chuki kwa aliyekuzidi ni kujitafutia stress tu. Huwezi kusema kufail kwa Alikiba taifa tumekosea amekosea yeye mwenyewe katika mipango yake. May be wewe unafail kumjaji Diamond in a negative way mtu ambaye kupitia yeye kuna vijana zaidi ya 50 wanaingiza msosi kinywani kila siku kwa kuuza karanga. Na pia ameajiri vijana wanaoingiza kipato kiasi cha kuweza kujenga na kununua magari pengine kupata na mitaji ya biashara zao zingine.
 
Tangu niujue muziki wa Bongo flava sijawahi kumuona Mondi kama ni msanii mkali kama mwimbaji zaidi ya mbana Pua, ingawa Kiba ana-afadhali kidogoooo, Kuna wanamuziki wazuri sana Tz kama wakipata Management Nzuri na kama wakijituma Mfano Maua Sama, Rama Dee, Mtoto m'moja wa Kike alishawahi imba nyimbo inaitwa Free Soul, Barnaba Boy, ni wazuri sana kama ukiuzungumzia muziki kama muziki mbali na maswala ya Management ambayo yamemsaidia sana Mondi Kimafanikio
Grace matata free soul
 
Back
Top Bottom