Kiba anaishi wapi?Unajuwa tuache shabikia ujinga kiba na diamond ni akili kubwa vs ndogo milele haziwezi fanana.
Tusidanganyane diamond ni sawa ma debe linavuma sana ila ndani hamna kitu ila kiba ni debe lenye kitu basi tu kunamakosa kama taifa tumeyafanya. Nakama vipi tujirekebishe.
Kimtonyo mim nauwakika mondi hana kitu ila kiba yupo vizuri nahata muda sio mrefu ukweli utajulikana tusisifie mtu bila kujuwa ukweli.
Ukitaka juwa matumizi ya mtu mwangalie anao tumia nao Domo anatumia pesa vibaya haangalii kesho mwenzake anatumia kwa akili sasa mtu alie namatumiz ya akili hawez pendwa na bad use of money.
Kuna point umeandika za kumkubali MONDI.. UnaposemaTangu niujue muziki wa Bongo flava sijawahi kumuona Mondi kama ni msanii mkali kama mwimbaji zaidi ya mbana Pua, ingawa Kiba ana-afadhali kidogoooo, Kuna wanamuziki wazuri sana Tz kama wakipata Management Nzuri na kama wakijituma Mfano Maua Sama, Rama Dee, Mtoto m'moja wa Kike alishawahi imba nyimbo inaitwa Free Soul, Barnaba Boy, ni wazuri sana kama ukiuzungumzia muziki kama muziki mbali na maswala ya Management ambayo yamemsaidia sana Mondi Kimafanikio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utakuwa na matatzo ya akiliTangu niujue muziki wa Bongo flava sijawahi kumuona Mondi kama ni msanii mkali kama mwimbaji zaidi ya mbana Pua, ingawa Kiba ana-afadhali kidogoooo, Kuna wanamuziki wazuri sana Tz kama wakipata Management Nzuri na kama wakijituma Mfano Maua Sama, Rama Dee, Mtoto m'moja wa Kike alishawahi imba nyimbo inaitwa Free Soul, Barnaba Boy, ni wazuri sana kama ukiuzungumzia muziki kama muziki mbali na maswala ya Management ambayo yamemsaidia sana Mondi Kimafanikio
Grace Matata, she is so talented basi ni vile management sijui....Tangu niujue muziki wa Bongo flava sijawahi kumuona Mondi kama ni msanii mkali kama mwimbaji zaidi ya mbana Pua, ingawa Kiba ana-afadhali kidogoooo, Kuna wanamuziki wazuri sana Tz kama wakipata Management Nzuri na kama wakijituma Mfano Maua Sama, Rama Dee, Mtoto m'moja wa Kike alishawahi imba nyimbo inaitwa Free Soul, Barnaba Boy, ni wazuri sana kama ukiuzungumzia muziki kama muziki mbali na maswala ya Management ambayo yamemsaidia sana Mondi Kimafanikio
Yap huyu ni mwimbaj mzuri sanaGrace Matata, she is so talented basi ni vile management sijui....
Pliiz huwezi kuchangia bila kumvunjia heshima mtu mkuu
Yap ni kweli kabisa Nyeusi ni Nyeusi tuu mkuu kwa upande huo Hongera zake nyingi sana zimfikie..Kuna point umeandika za kumkubali MONDI.. Unaposema
1. kama wakipata Management Nzuri na kama wakijituma ... MAANA YAKE MONDI ANAYAWEZA HAYO
2. maswala ya Management ambayo yamemsaidia sana Mondi Kimafanikio... HUKU NI KUMKUBALI MONDI LIVE AND DIRECT
Unazungumzia menejiment ipi, unamaanisha Babutale ni meneja bora kuliko kuwa chini ya Ruge? Nachojua Barnaba anatoka tht ambayo ni ya RugeTangu niujue muziki wa Bongo flava sijawahi kumuona Mondi kama ni msanii mkali kama mwimbaji zaidi ya mbana Pua, ingawa Kiba ana-afadhali kidogoooo, Kuna wanamuziki wazuri sana Tz kama wakipata Management Nzuri na kama wakijituma Mfano Maua Sama, Rama Dee, Mtoto m'moja wa Kike alishawahi imba nyimbo inaitwa Free Soul, Barnaba Boy, ni wazuri sana kama ukiuzungumzia muziki kama muziki mbali na maswala ya Management ambayo yamemsaidia sana Mondi Kimafanikio
Kwa hiyo unamaanisha Manager wa Barnaba ni Ruge 🙂😵 Umetisha MkuuUnazungumzia menejiment ipi, unamaanisha Babutale ni meneja bora kuliko kuwa chini ya Ruge? Nachojua Barnaba anatoka tht ambayo ni ya Ruge
Sent using Jamii Forums mobile app
Grace matata free soulTangu niujue muziki wa Bongo flava sijawahi kumuona Mondi kama ni msanii mkali kama mwimbaji zaidi ya mbana Pua, ingawa Kiba ana-afadhali kidogoooo, Kuna wanamuziki wazuri sana Tz kama wakipata Management Nzuri na kama wakijituma Mfano Maua Sama, Rama Dee, Mtoto m'moja wa Kike alishawahi imba nyimbo inaitwa Free Soul, Barnaba Boy, ni wazuri sana kama ukiuzungumzia muziki kama muziki mbali na maswala ya Management ambayo yamemsaidia sana Mondi Kimafanikio