Kasri Homes Tz
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 501
- 694
Hapo Bado hajaeleza ukweli inauzwa na mmiliki au inapigwa mnada na benki,hakuna kitu kibaya kama kununua property inayopigwa mnada na benki au taasisi ya mikopoMadalali wanajua wanauza vitu vibovu, anajirembesha sifa ili umlipe pesa ya mguu 😂😂
Mpigie Diamond ana hela. Acha kuhangaika na sisi wapiga zumari tu• Direction: Mailimoja Mkoani, 500 meters off Morogoro Road
• Facilities: 4 bedrooms, 2 washrooms
• Condition: Good
• Plot Area: 6,000+ sqm (1.5 acres)
• Document: Title deed
• Price: TSH 150 million
• Viewing charge: TSH 30,000
.
✓ plot yake ni ya kona
✓ imezungukwa na barabara ya lami
✓ pia panafaa kwa ujenzi wa kibiashara (taasisi za serikali zipo huko)
✓ umeme na maji vipo
✓ maeneo yamejengwa kwa mpangilio na ni tulivu
.
#InRealEstateWeConnect
☎💬 +255767157788
Mitandao ya Kijamii: BongoLocate
HakikaNyumba nzuri,eneo zuri...
Acha utani hiyo nyumba thamani yake si chini ya 60mAcha maskhara nyumba ipo wapi hapo ambayo nitalazimika kulipia elfu 30 ili kuiona?