Elections 2010 Kibaha Mjini: CHADEMA wachukua jimbo!

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,662
Reaction score
6,888
Naelezwa hapa kuwa Kibaha Mjini Chadema kakamata kiti cha ubunge!
 
Tupe data mkuu tuendelee kufungua Champagne
 
peoples power...hakuna cha kutusimamisha kwa sasa...vita mbele!
 
Jumatatu ya leo ni nzuri sana haijawahi kutokea ...
 
Ni kijana mdogo lakini ame-prove failure ya ccm..bravo brotha
 
Mi sina cha kusema. Acha yanayotokea yaendelee kutokea.
Hivi Mropokaji Makamba ana hali gani sasa hivi?
 
ni kweli mtoto anaongoza kibaha mjini,koka wa ccm chupi inabana,mtoto anaongoza maeneo ya mwanalugali,picha ya ndege, tumbi, matokeo ambayo hayajatangazwa ni kata ya boko kituo cha tumbi kibaha secondary shule aliyosoma Kikwete amepata kura 40,MR Weapon(slaa)98 kumbe hata walimu wake hawamkubali
 
diwani wa kata ya Tumbi mama katere hali mbaya kauza nyumba kwa ajili ya udiwani chadema wamemtenda
 
Malaria sugu yuko wapi ? Nasikia amelazwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…