KERO Kibaha, Mwanalugali B, bodaboda wanapora kiholela, wakitumia mapanga kuwadhuru watu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Juzi tarehe 23/02/2025 saa mbili na nusu usiku walimkata panga mtoto wa jirani yetu hapa Mwanalugali B na kumpora simu kisha wakalisahau panga hilo eneo la tukio.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…