Kibaigwa; Muokoeni mtoto Filemon anayeteswa na mama yake

Kuna polisi, balozi wa nyumba 10. Tukio likitokea tuu, mnaenda kutoa taarifa.
 
Wapo wengi wa namna iyo ila hawana pa kusemea
 
Kwa hyo stress za ndoa zote zinaishia kwa mtoto?hali hiyo inamuathiri mtoto
 
Wabongo tunatatizo la kukuza mambo! Umesimumuliwa na wewe umekuja kutusimulia tena , inawezekana umesimumuliwa uongo .
Punguza mihemko.

Habari ina umbeya mwingi ambao ni unnecessary.
 
Na wewe mwenyewe ipo hapo Kibaigwa? Yaani hii hadithi ungekuwa unaitolea kituo cha polisi sasa hivi huyo mama angekuwa kwenye mikono salama!
 
Umefanya vyema sana kupaza sauti nenda polis dawat la jinsia wale wanasikiliza sana naamin huyo mama atachukuliwa hatua kali
 
Kuna wale huwa wanatoa namba ukiona mtoto ananyanyaswa piga hizo namba niliona mahala
Toeni taarifa huyo mtoto atauawa na huyo mama ana matatizo ya akili kabisa
 
Hiyo ni polisi kesi,naomba location specific au nitumie namba yako ya simu dm. I'll fix the problem.

Wamama wengi wakikorofishana na wenza wao umalizia frustration kwa watoto,crazy
 
Umeanza vizuri umemalizia ovyo,sasa kosa la mwanaume linakuhalalisha umpige na kumnyanyasa mwanao?

Nonsene.
 
Kuna mkuu wa mtaa, balozi wote hao wameshindwa? Kama kuna jamii inaweza kuvumilia hiki unachokisema inabidi tuje tuwatandike mboko za makalio kuanzia wewe mleta mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…