Kibajaji amvaa vikali Zitto Kabwe kumsema Magufuli, amuita muoga kwani wakati yupo hakusema?

Lissu alimsema Magufuli akiwa hai akaishia kupigwa risasi, mbona hakujitokeza kukemea Lisu kushambuliwa kwa kumkosoa Magufuli akiwa hai? Kama hutaki kukosolewa ukiwa madarakani tena ukiwa hai, jiandae kupokea ukweli nje ya madaraka au ukiwa kuzimu.
 
Mpaka leo kuna watu wanamlaani Hitler
Hata Hitler aligawa VW kwa kila mtu na alijenga Autobahn
Lakini bado wanamsema mpaka leo

Ukiwa kiongozi wa nchi utasemwa tu
Angekufa akiwa waziri wala wasingemsema sana na angesahaulika
Urais ni taasisi Kwa hiyo itasemwa tu

Kama hamtaki msituletee watu wa aina aina hizi
 
Akamfufue azikiwe yeye shetani mkubwa huyoo
 
Zitto alikuwa hamsemi Magufuli alivyokuw hai? Hiyo haki aliyonyimwa ni ipi? Huyu zitto ndio aliyesema Magufuli ni rais mshamba na hakuna aliyemfanya kitu.
 
Nani anamkosoa Samia ukiondoa watu wa humu mitandaoni? Hicho kipimo cha kuvuka mipaka ndio kile cha Ndugai?
 
Lissu alimsema Magufuli akiwa hai akaishia kupigwa risasi, mbona hakujitokeza kukemea Lisu kushambuliwa kwa kumkosoa Magufuli akiwa hai? Kama hutaki kukosolewa ukiwa madarakani tena ukiwa hai, jiandae kupokea ukweli nje ya madaraka au ukiwa kuzimu.
Huwezi kumkosoa mtu aliyekufa maana hawezi kujitetea unaweza ukamsingizia hawezi kujitetea, anachokifanya Zitto ni kumsema Marehemu kitu ambacho hakina msaada wowote zaidi ni hasira zake tu za kuminyiwa mirija.

Samia hamkosoi sasa hivi kiasi kwamba mpaka anahusishwa na udini ila yeye yupo busy na kumsema vibaya marehemu mpaka anakosa muda wa kumuombea dua marehemu mama yake ambaye aliposemwa alilia.
 
Kwahiyo kwa wale walisoma logic
Zito anasema waliopenda Jpm wakazikwe chato.
Je Yeye hakuwa anampenda mama yake?
Hakumpenda Maalim
Ndio maana hajazikwa nao.
She is stupid. Narudi she is stupid
Nakazia Shiiiis stupid. Period
 
Sasa tofauti ipo wapi na sasa? Maana sasa hivi hamkosoi Samia(labda hajaona kasoro) ila yupo busy kumkosoa mtu ambaye ameshakufa..sasa ndio nini?
Kwani kama kasoro hazioneka utashindana na upepo au?
 
Tusifikiri kumsema vibaya Magufuli kutasaidia kitu, hayupo na hawezi kujibu kitu, kama una tatizo naye maliza utakuja kukutana naye kwa Mungu.

Mtu akishatangulia kitabu chake kinafungwa, tunamuachia Mungu kuja kutoa hukumu.
Kwa hiyo sisi tunaomsema unadhan hatujui hatusikii???? Tunajua tukimsema kina nani inawauma sisi kazi yetu ninkumsema mpaka wajiue tutaendeleankumsema hadi 2050
 
Lusinde kasahau zito amesema mengi tu wakati magu yupo na ameitwa polisi nimkumbushe wakati
kiongozi mzuri hatetei mmoja anatetea maslai yawengi nimuulize lusinde vipi wakati wavuvi tunaonewa mbona hakumsema magu pia magu amedhulumu watu mpaka ajira akafanya niswala lahiyari mbona hahusema aache kulipa fadhila kijinga zito hakumuukopa magu ndio kiongozi aliosimama nawanampeta kuhusu mauji ndio aliokuwa akisema pesa alizo kuwa navuruga magu zimepitishwa nachombo kipi tunajua wanapima joto kuangalia time mama je inanguvu tuachie ccm yetu itazidi kuwa imara chini yamama
 
Kauli ya Zito ni mbaya sana ni dharau kwa binadamu walio hai na waliotangulia mbele za haki, ina maana kifo ni adhabu? kama ndiyo tafsiri yake tusubiri kumuona yeye akipaa kwenda mbinguni kama Nabii Eliya
 
Zitto kabwe kakosea sana hajatumia lugha ya kistaarabu kumkosoa marehemu magufuli aombe radhi ,akumbuke jinsi alivyolia bungeni kipindi mama yake alivyosemwa akiwa kashafariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…