Kibajaji naye analiwa timing harudi Tena bungeni 2025

Kibajaji naye analiwa timing harudi Tena bungeni 2025

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi!

Mdomo na ulimi usipouchunga utakuponza. Za chini chini na duru za uhakika kutoka kwa accomplices na associates wenzangu jikoni wanadai Kibajaji analiwa timing na atakatwa kichwa na kuchinjiliwa mbali kwenye kura za maoni 2025.

Hii ni kwasababu za kauli zake mbaya na madharau hadharani dhidi ya Nape na mzee makamba, Kinana na jasusi mbobezi na mwanadiplomasia mzoefu Camilius.

Bado sijathibitisha ila sources zilizonitonya ni za uhakika.

Tujifunzeni kuchunga ndimi na midomo yetu!
 
Back
Top Bottom