damu yake itawalilia. pikipiki tu haina thamani kuliko roho ya mtu. kuua ni dhambi na damu itawalilia. kwa habari ya police aliyekuwa anashuhudia, kwakweli hafai katika kazi hiyo. mtu kama ameiba anatakiwa aletwe mbele ya sheria, sheria ichukue mkondo wake. kama wale wanaoiba pesa za selikali, wale polisi wanaoiba pesa kwa rushwa, wale mafisadi wa tz yaani mapapa na manyangumi, wangekuwa wanachomwa moto, nani angebaki? NA WALE WANAOMWIBIA MUNGU MAFUNGU YA KUMI NA SADAKA AMBAZO AMEAMURU TUMPLE KWENYE BIBLE, wangekuwa wanachomwa moto na kufanyiwa ukatili hivyo nani angebaki? kwa kifupi, ukatili wa aina hii tz umepitwa na wakati, roho ya mtu huyo ambayo wameuwa ilitakiwa iokoke kwanza ndo afe labda angeenda mbinguni, hajaokoka hivyo na wamemuua, anaenda jehanam moja kwa moja, waliosababisha wako hapo duniani, ni hasara kubwa sana mbele za Mungu kwasababu Mungu hafurahii kabisa kifo cha mtu mwenye dhambi. UKATILI KAMA UU TZ LAZIMA UTEKETEZWE.