Kibaka anapouawa, dunia imepoteza...!

Mtambuzi uko juu,endelea na moyo huo wa kuleta story za namna hii,mtu akisoma mawazo yanaenda mbali sana,mna uhusiano wowote na marehemu Munga Tehanani?
 
Story, fictitious???? Tunajifunza nini? Tutoe msaada inapowezekana na tusijichukulie sheria mkononi!
CHUAKACHARA hii sasa ni fujo mkuu, hukuwa na sababu ya ku-quote thread yote kwa ajili ya kuchangia.............
Nakuomba ufanye correction uondoe hiyo quote ili usiwakwaze wasomaji wengine.............. Please!
 
Last edited by a moderator:

Kweli story zingine ni shule, nimeshindwa kuachilia njiani habari hii mapaka nilipo maliza japo hakumalizia kwa mtiririko ,lkn ninasema fanya wema utalipwa hapa duniani, angesema huyu ndiye labda asingepata msaada kama
huo, Mungu anatusamehe pamoja na makosa yetu, yeye ni mwaminifu tukitubu tu anasamehe yote.
 
Du!! Kaka huwezi amini maisha wengi hatuyajui kwa sababu wengi wetu wanaishi maisha waliyotengenezewa tayari, wakina Punja wako wengi sana Tanganyika hii, na siyo kuwa vibaka wote wanapenda maisha anayoishi bali ni mfumo wa maisha ulio wafanya waingie katika hali walioyonayo.
 

Mkuu Jalem nakuomba ufanye correction uondoe hiyo quote ili usiwakwaze wasomaji wengine.............. Please!
 
Last edited by a moderator:
Hongera Mtambuzi Mkuu!
Ni hadithi yenye kisa kizuri. Ningeridhika na tendo la Punja kumuokoa Kiboko Msheli hata bila ya Kiboko Msheli kuja kulipa fadhila baadaye, kwani ni sisi ni nani wa kuhumu matendo ya watu walioumbwa kama sisi. Lakini nimeridhika zaidi zaidi kuona tendo la Punja baadaye limethaminiwa.
Baadaye nitakuPM.
 
Last edited by a moderator:

Kumbe wewe Mtambuzi ulikuwa kwenye team ya waandishi wa Jitambue? Na dada yake Mshauri Wako? Magazeti hayo mawili niliyapenda sana na hakuna nakala iliyokwepa macho yangu. Kweli Munga Tehenan ameacha urithi mkubwa sana wa mafundisho kwenye makala nzuri mno zilizokuwa kwenye magazeti hayo mawili: Jitambue na Mshauri Wako.

Kisa ulichokitoa nakikumbuka sana! Endelea kutukumbusha visa vingine vyenye somo kwa maisha.
 
Last edited by a moderator:
Story nzuri sana ...........ingawa katika story zote ulizowahi kuweka hapa "Alikuwa zaidi ya mama" ni namba 1 kwangu
 

Kumbe wewe Mtambuzi ulikuwa kwenye team ya waandishi wa Jitambue? Na dada yake Mshauri Wako? Magazeti hayo mawili niliyapenda sana na hakuna nakala iliyokwepa macho yangu. Kweli Munga Tehenan ameacha urithi mkubwa sana wa mafundisho kwenye makala nzuri mno zilizokuwa kwenye magazeti hayo mawili: Jitambue na Mshauri Wako.

Kisa ulichokitoa nakikumbuka sana! Endelea kutukumbusha visa vingine vyenye somo kwa maisha.
 
Last edited by a moderator:
Asante Mtambuzi,

Nimesoma na nimejikuta natoka machozi hapa Ofisini, nilipoendelea kusoma zaidi nikajikuta nalia kwa Kwikwi. Hii haijapata nitokea ila leo kwenye hii hadithi yako.

Kwa kweli inahuzunisha mno!!!
 
Pole sana kaka kweli tuamini kuwa mungu yupo na mungu hana roho mbaya kama sisi binadamu na yeye ndio anagawa riziki kwa watu wote na ujue kuwa kila linalokutokea mungu ana maana yake, pole sana ndugu kweli mungu yupo na usimsahau hata siku moja na ataendelea kukusaidia sana
 
Daaah, Mtambuzi, only tears, ngoja niende job niendelee kuwasaidia ndugu zangu!
Imenichomaaaa...!!!!
 
Duh kweli duniani huwezi kujua kitachokukuta nimejifunza kuwa kumsaidia mtu baadaye akaja kuwa ndo mwokozi wako..
 
very interesting story! god knows everything ila sisi hatujui la mbele yetu itakuwaje.
 
Yeah naikumbuka hii story,nilikuwa msomaji mzuri sana wa hili gazeti......i kept most of the copies za hili gazeti mpaka leo.......this is the power of good deeds

 
Yeah thats gr8,nakumbuka enzi zile za awamu ya kwanza ingawa watu walikuwa choka mbaya lakini walikuwa wenye furaha,kwani walifanya mengi kwa umoja na uzalendo,walipenda kusaidiana......lakini hivi sasa mmmh,kila mtu ana ambitions zake,ubinafsi umetawala nadhani ndio maana maisha yanazidi kuwa hovyo.......watu wamekuwa hawana wema!

Daaah, Mtambuzi, only tears, ngoja niende job niendelee kuwasaidia ndugu zangu!
Imenichomaaaa...!!!!
 
Nadhani kuna umehumu wa kulirudisha lile gazeti kama mazingira ya sasa yanaruhusu au kupata website ambayo tuna-subscribe to read contents......or
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…