kibaki afanya mabadiliko ya baraza la mawaziri

kibaki afanya mabadiliko ya baraza la mawaziri

Jackbauer

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
6,053
Reaction score
2,207
mabadiliko yamehusisha wizara nane.Najib balala wa ODM atupwa nje.

Wizara ya sheria-eugene wamalwa

wizara ya nchi za nje-sam ongeri

wizara ya elimu-mutola kilonzo

wizara ya utalii-danson

wizara ya fedha-njeru githae(alikuwa anakaimu)

wizara ya biashara-moses watengula

wizara ya mazingira-chirau makware

wizara ya jiji la nairobi-jamleck kamau
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Back
Top Bottom