Kibaki kuendelea kutawala Kenya

Kibaki kuendelea kutawala Kenya

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
6,361
Reaction score
2,378
Kuna kila dalili za Raisi Kibaki kuendelea kuwepo madarakani kwa muda mrefu kufuatia hali inayoendelea nchini Kenya.kwa Raila kukataa matokeo na huenda jumatatu akatika katiakaSupreme Court basi huenda mshindi asiapishwe na kufuatiwa na uskilizaji wa rufaa ambonsi chini ya miezi miwili..tusubiri
 
duu,ama kweli viongoz wa kiafrica wanapenda madaraka,huyu jamaa odinga ni bora akubali matokeo yasije yakajitokeza yale ya 2007,tunapenda kuiona kenya ikiwa na amin.
 
duu,ama kweli viongoz wa kiafrica wanapenda madaraka,huyu jamaa odinga ni bora akubali matokeo yasije yakajitokeza yale ya 2007,tunapenda kuiona kenya ikiwa na amin.
Wana katiba mpya imeipa mahakama ya supreme nguvu tofauti na ilivyokuwa 2007
 
Nimtazame nani nimwamini nani? Wananigeukia....vigeugeu....kigeugeu
 
kibaki hawezi kuendelea kutawala katiba itatoa nafasi kwa spika atakayechaguliwa na bunge jipya. raisi yoyote ana muda wa mwisho wa utawala wake ukifika nchi inakuwa haina raisi.
 
Naomba wakenya wailinde amani iliyopo sasa hivi maana kwa jinsi ninavyoona amani inaweza kutoweka wakati wowote.
 
Tatizo la uchu wa madaraka utalimaliza Bara la Afrika. Iweje bwana odinga kila chaguzi yeye aonewe???
 
Kuna kila dalili za Raisi Kibaki kuendelea kuwepo madarakani kwa muda mrefu kufuatia hali inayoendelea nchini Kenya.kwa Raila kukataa matokeo na huenda jumatatu akatika katiakaSupreme Court basi huenda mshindi asiapishwe na kufuatiwa na uskilizaji wa rufaa ambonsi chini ya miezi miwili..tusubiri
Inkoskaz,
Rufaa ya Presidential election under new Constitution dispensation ni siku 14 tu. Wenzetu Katiba yao iko smart sana.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la uchu wa madaraka utalimaliza Bara la Afrika. Iweje bwana odinga kila chaguzi yeye aonewe???
regan morgan
ushahidi anao,kwa mfano kuna jimbo liliandikisha voters 29,000 lakini katika matokeo Uhuru kapata kura 69,000
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ukwelikitugani dawa ya ubabaishaji katika siasa ni KATIBA MAKINI tu
Unajua loopholes za KATIBA ndizo zinatumiwa na watawala kufanya uhuni wao. Natamani tufanye Copy n Paste from that new Constitution ya Kenya. Kama unafatilia ile Document yao ni Mighty Master Piece.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la uchu wa madaraka utalimaliza Bara la Afrika. Iweje bwana odinga kila chaguzi yeye aonewe???

Kazidiwa kura nyingi sana cha msingi akubali tuu kushindwa yaani odinga anataka kushinda yeye tuu akishinda mwingine kaonewa.
 
Unajua loopholes za KATIBA ndizo zinatumiwa na watawala kufanya uhuni wao. Natamani tufanye Copy n Paste from that new Constitution ya Kenya. Kama unafatilia ile Document yao ni Mighty Master Piece.
So far akina warioba na akina mvungi wanaendelea vizuri...shaka ni wakati wa bunge la katiba magamba wanaweza kutuamulia madudu
 
Ni aibu kwa Raila. Yaani Waziri Mkuu kugaragazwa na naibu Waziri Mkuu, ni aibu ilioje?
 
regan morgan
ushahidi anao,kwa mfano kuna jimbo liliandikisha voters 29,000 lakini katika matokeo Uhuru kapata kura 69,000
Inkoskaz,
If that thing is real,basi tegemea patashika la kufa mtu mbele ya Supreme court.Pia ile % iliyoongezeka kwenye 50% ni kama kura 4080 hivi (kama sijakosea),which can be easly overturned by those facts u displayed,and hence Second round. By the way si unakumbuka Cord ina wanasheria wapiganaji Kina James Orengo,Pia the Former AG, Amos Wako,Mutula Kilonzo,
Hebu tuone.
 
Last edited by a moderator:
Kwanini Raila hakubali kushindwa?Kwanini asisubiri mwaka 2018?Kwanini asiinge hekima za Rais wetu mtarajiwa DR.Slaa?Amani amani iko mikononi mwa watawala
 
Back
Top Bottom