Wana katiba mpya imeipa mahakama ya supreme nguvu tofauti na ilivyokuwa 2007duu,ama kweli viongoz wa kiafrica wanapenda madaraka,huyu jamaa odinga ni bora akubali matokeo yasije yakajitokeza yale ya 2007,tunapenda kuiona kenya ikiwa na amin.
Inkoskaz,Kuna kila dalili za Raisi Kibaki kuendelea kuwepo madarakani kwa muda mrefu kufuatia hali inayoendelea nchini Kenya.kwa Raila kukataa matokeo na huenda jumatatu akatika katiakaSupreme Court basi huenda mshindi asiapishwe na kufuatiwa na uskilizaji wa rufaa ambonsi chini ya miezi miwili..tusubiri
regan morganTatizo la uchu wa madaraka utalimaliza Bara la Afrika. Iweje bwana odinga kila chaguzi yeye aonewe???
Mkuu ukwelikitugani dawa ya ubabaishaji katika siasa ni KATIBA MAKINI tuInkoskaz,
Rufaa ya Presidential election under new Constitution dispensation ni siku 14 tu. Wenzetu Katiba yao iko smart sana.
Duh! hiyo nayo kali, kweli Afrika tuliomba uhuru wetu lakini bado tulikuwa hatujajitayarisha kujitawalaregan morgan
ushahidi anao,kwa mfano kuna jimbo liliandikisha voters 29,000 lakini katika matokeo Uhuru kapata kura 69,000
Unajua loopholes za KATIBA ndizo zinatumiwa na watawala kufanya uhuni wao. Natamani tufanye Copy n Paste from that new Constitution ya Kenya. Kama unafatilia ile Document yao ni Mighty Master Piece.Mkuu ukwelikitugani dawa ya ubabaishaji katika siasa ni KATIBA MAKINI tu
Tatizo la uchu wa madaraka utalimaliza Bara la Afrika. Iweje bwana odinga kila chaguzi yeye aonewe???
So far akina warioba na akina mvungi wanaendelea vizuri...shaka ni wakati wa bunge la katiba magamba wanaweza kutuamulia maduduUnajua loopholes za KATIBA ndizo zinatumiwa na watawala kufanya uhuni wao. Natamani tufanye Copy n Paste from that new Constitution ya Kenya. Kama unafatilia ile Document yao ni Mighty Master Piece.
Inkoskaz,regan morgan
ushahidi anao,kwa mfano kuna jimbo liliandikisha voters 29,000 lakini katika matokeo Uhuru kapata kura 69,000
Hata 2007 aligomea matokeo na kulianzisha.
Unakumbuka Uharamia wa Kibaki that year,au unaongea tuu? Pia unapaswa ufanye rejea ya "Tyranny of Numbers"Ni aibu kwa Raila. Yaani Waziri Mkuu kugaragazwa na naibu Waziri Mkuu, ni aibu ilioje?
Unakumbuka Uharamia wa Kibaki that year,au unaongea tuu? Pia unapaswa ufanye rejea ya "Tyranny of Numbers"