Kibaki plans to build multi-billion hotel and a mini city

Sasa iyo hotel mnayobishania sina uhakika hata kama kuna mtu humu wa Kenya atanufaika nayo directly hata kwa kupata kazi ya kufungua gate
 

you nailed it my broda
this's why the class struggle will never end in Kenya.
 
Tanzania ukifanya hivyo utaitwa fisadi ni bora pesa ufiche nje ya nchi kuliko kuwekeza nchini mwako.Umasikini ni sifa nzuri kwa mtanzania
 
hahaha, how can u compare mbeya and Nakuru?? mbeya ni kama voi town huku kenya hizo unasikia ni city Tanzania mkiziona mtacheka
 
Nasikia wakisema Tanzania hakuna ufisadi wakati wako zaidi ya kenya, tatizo kwao media zina controliwa na serekali uwezi tangaza kitu kabla ya kupitiwa na serekali. naona mmesahau

buzwagi
escrow
mishahara hewa
sakata la radar
etc
 
wewe jamaa huku JF unafanya kazi ya kudanganya wakenya[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] .......


mbeya na serengeti breweries wap na wap?..... looks like hata mbeya hujawahi fika! jamaa mwongo kama magufuli wako hahahhaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…