Kibaki swearing in 2007

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Lol...yaani hata aibu hakuna. Hebu ona hii swearing-in.

Kama kweli hukuiba kura kwa nini ule kiapo uani kwa haraka haraka hivyo?

Hahahaaa you can't make this stuff up. Just classic material.

 
Last edited by a moderator:
Akiwa na mkewe na judge pamoja na walinzi wawili. Halafu akaachiwa tu! Nashangaa hata the Hague hawakuona hili jambo
 
Akiwa na mkewe na judge pamoja na walinzi wawili. Halafu akaachiwa tu! Nashangaa hata the Hague hawakuona hili jambo

Ain't that something?

Indeed sometimes facts are stranger than fiction!
 
Ain't that something?

Indeed sometimes facts are stranger than fiction!
No doubt about that.
Kivuitu aliulizwa nani kashinda uchaguzi? He simply said ''he does'nt know''. Huyu ndiye mwenyekiti wa tume ya uchaguzi.

Mzee kamwita Judge usiku na kula kiapo, tayari amir jeshi mkuu! Kwanini the Hague wamemuacha?
 
Haya, hebu contrast na hii public swearing in ya 2002.

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…