Kibaki turns down S.A bid for AU top job

Rais Kibaki ana hoja ya kizalendo..ingawa baadhi ya wachangiaji mada wamepotosha na pia tumefahamau kwamba Baridii hatoki pangani akama anavyodai na Nairoberry anatamani serikali ya TZ iuzwe na kununuliwa na Kenya..a very so dreamy idea! Economic integration ni mwendo wa sasa na tunachohitaji ni Nia thabiti ya kuaminika ili tuwe na yumkini aminifu na mawazo ya Usultani na Ufamlme yatoweke kwa wale wenye ndoto hizo vingine EAC itaendelea kuwa ndoto ya mchana kwa vizazi viwili au vitatu vijavyo!! Nawaheshimu sana Wazee waasisi wa EAC... Mwalimu Nyerere aliwahi kusema.."It can Be Done Play Your Part" na Mzee Kenyatta alikuja na kaulimbiu "Harambee" -ilioamanisha Tushikamane na Kusaidiana Tujenge Nchi Yetu..Nakumbuka mpaka na wimbo uliosema harrambe harambe tuimbe pamoja ..tujenge nchi yetu ..Nchi yetu iende mbele!!! .. These are still the Inspirational words to make all of us forge ahead with what needs to be done and let all the **** talk out of this discussion forum.!
 

Ashante!
Kenya ndio vijisababu vya kila kitu kuenda kombo EAC. Hata miti ikianguka bongo shida mkenya, matatizo yakitokea manyumbani binafsi mkenya! mvua ikikosa kunyesha, mkenya!! hamuwezi kuona past the defunct EAC? Kumbuka vitunguu vikiungua kwako usisahau ukataja mkenya!! Wakati huu tuko na IGAD COMESA kachukua nafasi ya EAC. Tunaaongelea kuhusu AU na SADC kuchukua AU ni kama kuleta ukoloni. Economic apartheid institution, Afrika bado imo na inafanya kazi. Lakini sio ile ya mwanzo bali Economic imperialism! Uliza EABL walivyofanywa hapo Afrika Kusini! Tuanzie hapo! ikiwa huna hoja la msingi na maana usithubutu kuandika!!
 

Nakubaliana na wewe...when two parties come to table for a serious discussion, they should be honest to each other. Mtu akishaanza kufikiria kunizidi maarifa ili achukue changu kwa hila ama ujanja ujanja unafikiri mimi ntaamua nini? Kenyans wanatuhitaji watu wote wa east africa maana hawawezi kufika popote peke yao. Tena nchi zote za east africa zina opportunities sawa ingawa nyingine bado opportunities hizo hazijaendelezwa. Kama kweli wanataka kufanya regional intergration, lazima heshima iwepo....vinginevyo waende zao kama wanaona they can do it alone.
 
kABARIDI

Sina tatizo na msukumo wa Kibaki kwa ajili ya Kenya, but if it is a REGIONAL POSITION, THEN THE ISSUE SHOULDNT BE NI MKENYA BUT 'HE GOT ALL THE NECESSARY QUALIFICATIONS THAN ANY OTHER CANDIDATE'! :eek2:TAKE IT FROM ME KWA MTAZAMO HUU TUNAWEZA KUSONGA MBELE OTHERWISE BASI KILA NCHI IJITAWALE NA KUENDESHA MAMBO YAKE BILA KUHITAJI REGIONAL INTEGRATION KAMA MTAZAMO WETU UKO VERY NARROW LIKE THAT! i AM NOT CONVINCED BWANA KABARIDI! :redface:
Unaona hapa ndio tunakwamia. kwanini tusipeana a chance kwa mkenya, Nini kinakwambia hata SA wakiingia kwenye hicho kiti, hawatajaribu kusukuma interest zao. .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…