Elections 2010 Kibaku - Simbachawene atangazwa bila kura kuhesabiwa

Elections 2010 Kibaku - Simbachawene atangazwa bila kura kuhesabiwa

n00b

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2008
Posts
1,015
Reaction score
2,680
Wakuu,

This' so serious. Inasikitisha kuona kuwa NEC wameamua kuibaka demokrasia kwa kumtangaza bwana huyu kabla hata masanduku ya kura hayajamaliza kuhesabiwa. Hii ni haki?

Observers mnafanya nini sasa?
 
Ipo site ya kutoa report na matukio kama haya. du the niidfu .... andika hapo mistari kama hii uliyoweka hapa
 
JF imechakachuliwa habari zinakuj nyingi lkn hakun ushahidi
 
Masanduku mangapi bado hayajahesabiwa?Huenda hataathiri matokeo..........
 
Wakuu,

This' so serious. Inasikitisha kuona kuwa NEC wameamua kuibaka demokrasia kwa kumtangaza bwana huyu kabla hata masanduku ya kura hayajamaliza kuhesabiwa. Hii ni haki?

Observers mnafanya nini sasa?

How did it happen?
 
Tatizo wengi mlikwepa somo la hesabu na hata leo hii bado mnashabikia watoto wenu wakikataa somo la hesabu, ukijumlisha kwa haraka idadi ya wapiga kura, waliojiandikisha, waliopiga kura ukiwa na sehemu ya matokeo unaweza kuamua bado au tayari mshindi ni nani... as simple as that
 
Back
Top Bottom