This' so serious. Inasikitisha kuona kuwa NEC wameamua kuibaka demokrasia kwa kumtangaza bwana huyu kabla hata masanduku ya kura hayajamaliza kuhesabiwa. Hii ni haki?
This' so serious. Inasikitisha kuona kuwa NEC wameamua kuibaka demokrasia kwa kumtangaza bwana huyu kabla hata masanduku ya kura hayajamaliza kuhesabiwa. Hii ni haki?
Tatizo wengi mlikwepa somo la hesabu na hata leo hii bado mnashabikia watoto wenu wakikataa somo la hesabu, ukijumlisha kwa haraka idadi ya wapiga kura, waliojiandikisha, waliopiga kura ukiwa na sehemu ya matokeo unaweza kuamua bado au tayari mshindi ni nani... as simple as that