King Mutesa JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 227 Reaction score 141 Jun 2, 2015 #1 Habari Wajasiriamali..!? Napenda kufahamu kwa Mtu yoyote mwenye kufahamu kibali cha Mazao ya Maliasili kama vile MKAA na ASALI kinagharimu shingapi katika Mkoa Tajwa hapo juu na Taratibu zake kama inawezekana! Asanteni..!
Habari Wajasiriamali..!? Napenda kufahamu kwa Mtu yoyote mwenye kufahamu kibali cha Mazao ya Maliasili kama vile MKAA na ASALI kinagharimu shingapi katika Mkoa Tajwa hapo juu na Taratibu zake kama inawezekana! Asanteni..!
makolola JF-Expert Member Joined Sep 15, 2014 Posts 765 Reaction score 289 Jun 3, 2015 #2 ni aibu kwa nchi ya tanzania kuigeuza asali mali asili angali ni zao la chakula