Kibali cha kusafirisha mkaa kuja dar?

Kibali cha kusafirisha mkaa kuja dar?

Amalinze

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Posts
6,780
Reaction score
5,305
Habari wadau,

Nimenunua heka 50 za pori la miti,nataka kuchoma mkaa,sasa wadau naomba kujua utararibu wa kufanya ili niweze kusafirisha mkaa kutoka morogoro kuja dar,kitu gani cha kufanya nisisumbuliwe njiani,


kwa maoni unaweza ukanitumia:

Email: estatetz@diplomats.com
web: REAL ESTATE AGENCY
 
Back
Top Bottom